Habari wanajamvi!
Natumai mnaendelea vyema na mapumziko yenu ya wikiendi.
Ninaomba ikiwa una access ya link au pdf document ya kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana Taifa kwa mujibu wa Sheria ya Uanzishwaji wa Baraza la Taifa ya mwaka 2015 unisaidie tafadhali.
Nimejaribu kuitafuta...
Kwanini wewe mwanaume suruali umlaghai binti mwanafunzi kwa udomo zege wako kisha umpe ujauzito?? Halafu unakuja hapa unaropokaaaa wakati hata sasa una huyo "kidenti"
Na Anthony Damas
Iringa.
Vijana wa kijiji cha Mafuruto kata ya Mlowa wilaya ya Iringa Vijiji wamesema hayo mbele ya Mratibu Mwandamizi wa mradi wa Kijana Wajibika Bw. Oscar Kimaro ambao unasimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Vijana la Restless Development.
Mratibu Mwandamizi wa mradi wa...
Mi najiuliza hivi hakuna watu wengine wasomi na wenye heshima ambao wangeweza kufanya kazi hii na kwa weledi? Kwanini asistaafu akapumzika?
Napata mashaka na mamlaka za uteuzi!
Siku hizi watanzania sio wa miaka 1000 iliyopita... waache wayafanye hayo wataona na sisi tutafanya nini. Kumekuwa na tabia ya serikali ya ccm na usalama wao kutumia nguvu kubwa ya propaganda ili kufanikisha wanayoyataka... imekula kwao!
Ni katika hali ya kushangaza siku hizi taifa letu limekuwa likikumbwa na vipndi vingi vya mpito na pengine masuala yanayohitaji umakini na ufuatiliaji wa karibu.
Kinachonisikitisha ni namna ambavyo wenye mamlaka wanavyotumolia nguvu kubwa ya propaganda na pengine nguvu ya fedha kuwatoa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.