Search results

  1. Kambona Mfufuka

    Msaada: Mwenye pdf au online link ninayoweza kuzipata kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana

    Naihitaji hiyo doc kwa ajili ya reference na kushare na networks za vijana
  2. Kambona Mfufuka

    Msaada: Mwenye pdf au online link ninayoweza kuzipata kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana

    Sasa mbona waleta mambo yako ya ushoga tena? Ushoga baki nao
  3. Kambona Mfufuka

    Msaada: Mwenye pdf au online link ninayoweza kuzipata kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana

    Habari wanajamvi! Natumai mnaendelea vyema na mapumziko yenu ya wikiendi. Ninaomba ikiwa una access ya link au pdf document ya kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana Taifa kwa mujibu wa Sheria ya Uanzishwaji wa Baraza la Taifa ya mwaka 2015 unisaidie tafadhali. Nimejaribu kuitafuta...
  4. Kambona Mfufuka

    AZAKI Tanzania: Wasichana wanaopata ujauzito shuleni si wahalifu wanaostahili kukatishwa ndoto zao

    Kwanini wewe mwanaume suruali umlaghai binti mwanafunzi kwa udomo zege wako kisha umpe ujauzito?? Halafu unakuja hapa unaropokaaaa wakati hata sasa una huyo "kidenti"
  5. Kambona Mfufuka

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Wacha banaah... nasubiri zangy mie
  6. Kambona Mfufuka

    Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

    Hah haaah ... nimecheka sana mkuu
  7. Kambona Mfufuka

    Vijana walilia ushirikishwaji katika ufanyaji maamuzi ngazi za chini

    Na Anthony Damas Iringa. Vijana wa kijiji cha Mafuruto kata ya Mlowa wilaya ya Iringa Vijiji wamesema hayo mbele ya Mratibu Mwandamizi wa mradi wa Kijana Wajibika Bw. Oscar Kimaro ambao unasimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Vijana la Restless Development. Mratibu Mwandamizi wa mradi wa...
  8. Kambona Mfufuka

    Rais Magufuli amteua Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Mi najiuliza hivi hakuna watu wengine wasomi na wenye heshima ambao wangeweza kufanya kazi hii na kwa weledi? Kwanini asistaafu akapumzika? Napata mashaka na mamlaka za uteuzi!
  9. Kambona Mfufuka

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Ataheshimika tu, naye ajue heshima yake inatokana na kusimamia nguvu ya umma na umma ndio sisi!
  10. Kambona Mfufuka

    Mbowe amekuwa ni Kiongozi Mwenye Busara sana mara arushiwapo Makombora.

    usimjibu -------- kwa kadiri ya upumbavu wake ... maneno ya Mola
  11. Kambona Mfufuka

    Mabilioni ya Uswisi: Mkakati wa Kumchafua Mbowe Wanaswa, Magazeti Matatu kutumika...

    Siku hizi watanzania sio wa miaka 1000 iliyopita... waache wayafanye hayo wataona na sisi tutafanya nini. Kumekuwa na tabia ya serikali ya ccm na usalama wao kutumia nguvu kubwa ya propaganda ili kufanikisha wanayoyataka... imekula kwao!
  12. Kambona Mfufuka

    Dhana ya kuongozwa na matukio, Watanzania tubadilike

    Ni katika hali ya kushangaza siku hizi taifa letu limekuwa likikumbwa na vipndi vingi vya mpito na pengine masuala yanayohitaji umakini na ufuatiliaji wa karibu. Kinachonisikitisha ni namna ambavyo wenye mamlaka wanavyotumolia nguvu kubwa ya propaganda na pengine nguvu ya fedha kuwatoa watu...
  13. Kambona Mfufuka

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Muhimu sana... Nawatakia ushindi uliotukuka makamanda wenzangu wa CDM!
Back
Top Bottom