Recent content by Kalimanzira

  1. K

    Project accountant post -magu mwanza

    A public advert to whoever is interested for a post of a Project Accountant with a local organisation in Magu Mwanza known as Magu Poverty Rehabilitation Centre for Oder People MAPERECE. Find attached a Job description and Job Advertisement for your reference Best JM
  2. K

    Job advert: Project coordinator Magu-Mwanza

    Ndugu wana JF, Nawatangazia nafasi ya Kazi ya Afisa Mradi katika shirika la MAPERECE liliko Magu Mwanza. Maelezo zaidi ni kama yalivyo katika kiambatanisho. Aksante
  3. K

    Hongera wakurugenzi wa Halmashauri , mmetupa mitaa mingi sana bila ya kujua.

    Au ndio maana mabosi wao wanawatisha sana. Mara Ghasia,mara Nape wrote wakilalamikia hao watendaji na kuwatisha kuwachukulia hatua.
  4. K

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Ndugu zangu mh. Mnyika alishatuambia Urais na Rais wakiwa dhaifu haya ndiyo madhara take. Hii sinema tunayoina ni udhaifu wa taasisi ya Urais na Rais mwenyewe. Huwezi kuwa kiongozi makini katika hali kama hii unamwambia MTU ajiuzuru kwa uchafu wa namna hii halafu unadhihaki umma kwa kuwaamvia...
  5. K

    Baada ya kushiriki na kushindwa uchaguzi nina haya ya kusema kwa uongozi mpya BAVICHA

    Nimekubali ulijua unachokitafuta. Huo ndio ukomavu ktk demokrasia
  6. K

    Njia za kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba

    Heading na maelezo vinakinzana. Sijaona wazo lolote jipya uliloleta la kupunguza gharama za ujenzi. Unless kama ni fundi na unatafuta kazi!
  7. K

    Rasmi: Rais Kikwete kuvaa suti za Sheria Ngowi

    Huyu mzee wetu naye SAA engine anatia AIBU! Mbunifu mwenyewe kapigilia Suti ya ughaibuni. Anyway ndiyo akili zetu zinapofikia.
  8. K

    Mh. Mwigulu Nchemba azidi kudhihirisha kuwa ni chaguo la Watanzania wengi

    Mwigulu acha kujifagilia, hizo ni siasa za kitoto. Ujue we we tunakujua kana GAIDI fullstop! Kupewa unaibu waziri ndio ubajifanya umebadilika. For your information you can't change some one character for a mere gift like what you have been given by your extremist partysan.
  9. K

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    CHADEMA wamefanya maamuzi magumu lakini muhimu kwa wakati huu. ZITO ni kiongozi makini na amefanya mambo makubwa kwa chama lakini mwenendo wake wa siku za karibuni hauleti tija kwa mstakabali wa CDM mbele ya safari. Wakati mwingine ni vizuri kuimarisha migogoro/ mgogoro ili hatua muafaka na za...
  10. K

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Maskini Jeuri, acha hofu! Ni kweli Kagame ni mwanajeshi na amekaa msituni lakini siyo sababu ya yeye kujidai na kutukana viongozi wenzake. Jeuri ya Kagame siyo jeshi lake bali ni nchi za Magharibi anazozisaidia kuiba raslimali za Congo DRC. Hasira ya Kagame kwa Rais Kikwete ni kitendo cha...
  11. K

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Kagame anahasira na Rais Kikwete kwa uamzi wake wa kupeleka majeshi ya Tanzania kwenda kushiriki operation Congo. Anatambua fika kuwa Tanzania kwa kuwa mstari wa mbele, mipango haramu wanayoifanya na rafiki yake Mseveni itakuwa wazi na wataumbuka! Kgame amejificha nyuma ya kivuli cha 'genocide'...
  12. K

    Hali ya Siasa Nchini

    Mimi namuona Kashirila mama mmoja wa wachumia tumbo tu. Kwanza niseme pamoja na kuwa na phd lkn inaonekana elimu take haijamkomboa. Piling inaonekana anawaonea wivu wabunge ,na hasa wa vyama vya upinzani kwa uwezo na umahiri wao wa kujenga bona. Ushauri Wangu awake, akagombee grunge ili naye awe...
  13. K

    SIONI kama CCM ina KATIBA, naona KATIBA ni MWENYEKITI

    William Malechela kwa kweli wewe haujakomaa kisiasa. Ni bahati tu kwamba umezaliwa na Malechela lkn ukweli wewe huna uwezo wa kujisimamia kisiasa! Hoja ya mjumbe ya kuwa CCM haioongozwi na katiba bali mawazo ya MWENYEKITI ina mashiko sana. Nilitegemea uchambuzi wako wa kina wa hoja hiyo ili...
  14. K

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Haya silizeni presentation aliyotoa wiki mbili zilizopita SA.Fungua link hiyo utamsikia sambamba na wengine Hon Philipo Augustino Mulugo, Dep Min of Education & Voc Training, Tanzania, Innovation Africa 2012 - YouTube
  15. K

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Maana tunaweza kudhani kwamba kilicho wakasirisha waislamu ni Quran kukojelewa. KUMBE UKWELI hasira za WAISLAMU zimetokana na MTOTO huyo kutogeuka kuwa MJUSI! Nakubaliana na ww kabisa, hasira ya waliovamia na kuharibu makanisa haitokani na msahafu 'kukojolewa' bali mtoto anayeaminiwa kukojolea...
Back
Top Bottom