Recent content by kalamu na karatasi

  1. kalamu na karatasi

    Tuwajulishe na kuwakumbusha mabinti zetu..

    Kumbusho hili muhimu,Kwa Binti zetu nyumbani, Tusibaki kulaumu,Wakishindwa Maishani, Tuzifikishe Salamu,Kwa Utuo na makini, Matano yana muhimu ,Mavazi ya kuvalia. Kwanza hiyo sare yako ,shuleni unosomea, Yasitiri mwili wako,kuziepuka udhia, Haitaki manukato,ya mwili na mapambia , Matano...
  2. kalamu na karatasi

    Bora ya jambo kati na kati

    Habari Wakuu Katika maisha tunafanya mengi kwa kila mmoja kuamini ni haki yake kufanya afanyavo. Kwa upeo makini wa mwanadamu akaenda mbali kwa kujiwekea miongozo mbalimbali. Akaiita haki na wajibu,Kwa maana Yale anayopaswa kufanya kwenda kwa mwengine, na Yale anayopaswa kufanyiwa toka sehemu...
  3. kalamu na karatasi

    Ukale na Usasa katika Mapenzi

    Wenyewe walio wajuvi wa mambo hayo waliamua kuacha wazi mlango wa maana halisi ya neno Mapenzi. Kwa maana hyo kila mmoja akatafsiri Mapenzi ajuavyo. Leo imekuwa kawaida kujikabidhi kwa Mwanaume bila ndoa , na katika jamii ukapewa cheo cha Mume au Mke halali wa Muhusika. Uzamani umeonekana...
  4. kalamu na karatasi

    Utambuzi Binafsi silaha ya Kwanza

    Kikubwa ni wewe kujua nn unacho na wp unakusudia fika.Kisha kutumia nafasi iliyopo kufika utakapo.
  5. kalamu na karatasi

    Utambuzi Binafsi silaha ya Kwanza

    Mkuu muendelezo ni kuwa na utambuzi binafsi ili kuzidi kujikwamua Kimaisha.
  6. kalamu na karatasi

    Utambuzi Binafsi silaha ya Kwanza

    Habari Wakuu, Nakumbuka enzi hizo za utafutaji wa ajira kama tulivyo wengi humu jukwaani. Kiukweli haikuwa rahisi kupata kazi,Sehemu nyingine ambazo nilibahatika kupata walau kujishkiza Maslahi yalikuwa duni kuliko maelezo. Kuna sehemu nilikuwa katika matazamio kwa muda wa miezi mitatu,Pasi...
  7. kalamu na karatasi

    Wajuvi wa mambo wanisaidie

    Habari Wakuu, Nimekua nikijiuliza bila kupata jawabu kuntu juu ya suala hili, Katika Uhusiano wa kimapenzi,Hivi kuna uwezekano kwa mtu ambae hamjawahi kuonana kabisa.Kwa maana kufahamiana Kwa sura kuja kuoana na kuwa na maisha mazuri ya kindoa?? Tuchukulie kufahamiana kupitia mitandao ya...
  8. kalamu na karatasi

    Mahaasin TV yapewa rasmi leseni ya kurusha matangazo na TCRA

    Haaahaaa,kama kweli Vileee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  9. kalamu na karatasi

    Mahaasin TV yapewa rasmi leseni ya kurusha matangazo na TCRA

    Mkuu Usibahatishe,Si Lazima Kuchangia kama Huna Uhakika na unalosema.
  10. kalamu na karatasi

    Mahaasin TV yapewa rasmi leseni ya kurusha matangazo na TCRA

    Kauli mbiu take,Inalenga Kuujuza Umma Kuhusu Mazuri ya Uislam.Usikose kuifuatilia kwa Njia tajwa hapo juu.
Back
Top Bottom