Search results

  1. kalamu na karatasi

    Tuwajulishe na kuwakumbusha mabinti zetu..

    Kumbusho hili muhimu,Kwa Binti zetu nyumbani, Tusibaki kulaumu,Wakishindwa Maishani, Tuzifikishe Salamu,Kwa Utuo na makini, Matano yana muhimu ,Mavazi ya kuvalia. Kwanza hiyo sare yako ,shuleni unosomea, Yasitiri mwili wako,kuziepuka udhia, Haitaki manukato,ya mwili na mapambia , Matano...
  2. kalamu na karatasi

    Bora ya jambo kati na kati

    Habari Wakuu Katika maisha tunafanya mengi kwa kila mmoja kuamini ni haki yake kufanya afanyavo. Kwa upeo makini wa mwanadamu akaenda mbali kwa kujiwekea miongozo mbalimbali. Akaiita haki na wajibu,Kwa maana Yale anayopaswa kufanya kwenda kwa mwengine, na Yale anayopaswa kufanyiwa toka sehemu...
  3. kalamu na karatasi

    Ukale na Usasa katika Mapenzi

    Wenyewe walio wajuvi wa mambo hayo waliamua kuacha wazi mlango wa maana halisi ya neno Mapenzi. Kwa maana hyo kila mmoja akatafsiri Mapenzi ajuavyo. Leo imekuwa kawaida kujikabidhi kwa Mwanaume bila ndoa , na katika jamii ukapewa cheo cha Mume au Mke halali wa Muhusika. Uzamani umeonekana...
  4. kalamu na karatasi

    Utambuzi Binafsi silaha ya Kwanza

    Kikubwa ni wewe kujua nn unacho na wp unakusudia fika.Kisha kutumia nafasi iliyopo kufika utakapo.
  5. kalamu na karatasi

    Utambuzi Binafsi silaha ya Kwanza

    Mkuu muendelezo ni kuwa na utambuzi binafsi ili kuzidi kujikwamua Kimaisha.
  6. kalamu na karatasi

    Utambuzi Binafsi silaha ya Kwanza

    Habari Wakuu, Nakumbuka enzi hizo za utafutaji wa ajira kama tulivyo wengi humu jukwaani. Kiukweli haikuwa rahisi kupata kazi,Sehemu nyingine ambazo nilibahatika kupata walau kujishkiza Maslahi yalikuwa duni kuliko maelezo. Kuna sehemu nilikuwa katika matazamio kwa muda wa miezi mitatu,Pasi...
  7. kalamu na karatasi

    Wajuvi wa mambo wanisaidie

    Habari Wakuu, Nimekua nikijiuliza bila kupata jawabu kuntu juu ya suala hili, Katika Uhusiano wa kimapenzi,Hivi kuna uwezekano kwa mtu ambae hamjawahi kuonana kabisa.Kwa maana kufahamiana Kwa sura kuja kuoana na kuwa na maisha mazuri ya kindoa?? Tuchukulie kufahamiana kupitia mitandao ya...
  8. kalamu na karatasi

    Mahaasin TV yapewa rasmi leseni ya kurusha matangazo na TCRA

    Haaahaaa,kama kweli Vileee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  9. kalamu na karatasi

    Mahaasin TV yapewa rasmi leseni ya kurusha matangazo na TCRA

    Mkuu Usibahatishe,Si Lazima Kuchangia kama Huna Uhakika na unalosema.
  10. kalamu na karatasi

    Mahaasin TV yapewa rasmi leseni ya kurusha matangazo na TCRA

    Kauli mbiu take,Inalenga Kuujuza Umma Kuhusu Mazuri ya Uislam.Usikose kuifuatilia kwa Njia tajwa hapo juu.
  11. kalamu na karatasi

    Mahaasin TV yapewa rasmi leseni ya kurusha matangazo na TCRA

    Mahaasin TV,Ni Televisheni ya Pili ya Kiislam,Kukabidhiwa Leseni ya Kurusha Matangazo Yake. Kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Inapatikana Kupitia Continental Decorder,na pia Kwa Kupakua App yake ndani ya Google Play Store. Mahaasin TV(Pata Kujua Wema wa Uislam)
  12. kalamu na karatasi

    Mwisho wa Mwaka Sitosahau

    Habari Wakuu Ni katika Kuzidi tu kushirikishana katika Yale yanojiri Maishani. Ni Kipindi ambacho Nilikuwa nikihitaji Pesa kuliko Chochote.Kwani Niliamua kurudi Darasani kujiendeleza Kielimu,Tayari Mtoto wa Watu nilikuwa nimemposa na Machache yalibaki kabla ya kumuita My Wife wangu.Ni wakati...
  13. kalamu na karatasi

    Hata wewe inakuhusu

    Habari Wakuu Tukiwa kama Watanzania,jukumu la kuitunza na kuilinda Amani ya Nchi Yetu ni ya kila mmoja. Kalamu na karatasi,Tumekuandalia ujumbe uitwao"MAMA TANZANIA"kwa Njia ya SAUTI makhsusi kwa lengo hili. Kuwa wa kwanza kuupata na kuusambaza kadiri uwezavyo,Ili tuendelee kuiona...
  14. kalamu na karatasi

    Laiti kama wote tungalijua thamani ya mwanamke tusingalifika hapa

    SIMULIZI FUPI:Mama Tanzania MTUNZI:Hilal M Magege MSAMBAZAJI:Kalamu na Karatasi Mawasiliano: Simu ;0655 08 02 90 au 0764 65 10 00 Au Barua Pepe kalamunakaratasi@gmail.com Nchi yeyote Duniani imepewa hadhi ya mama,hadhi ambayo,sijui ni kwa heshma ya hao waliomo ndani yake.?ama!ni kwa...
Back
Top Bottom