Recent content by kajembejr

  1. kajembejr

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Daaaa !!Ila wa Tanzania tumezidi ukoondoo..Hizi nauli zinapandishwa kihuni sana.
  2. kajembejr

    Mke wangu ananilazimisha nimcheat...

    Pole ndugu!!hapo kuna Mume wamtu anakula ama yupo mbioni kula mkeo...
  3. kajembejr

    Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

    Hongera kwa mzazi wa bint kwakuwekeza kwenye Elimu ya Bint yake, Naamini katika hiyo shule Division One ni kama zote.
  4. kajembejr

    Nilipopoteza uwezo wangu wa kimiujiza

    Pole sana rafiki, Ulilopitia ni sehemu ya jaribu ambalo ulikuwa na uwezo wakulishinda. Lakini hata sasa shukuru Mungu mana ingali sauti yake unaisikia kwa namna ya unavyopata majuto kwa dhambi ile. Nikusihi tu,Dhamiria kwa dhati kabisa kufanya toba na maombi.Mungu wetu ni mwema wakati wote,Hata...
  5. kajembejr

    Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

    Soon watamtwaa waliosababisha tumfahamu!!
  6. kajembejr

    Mnaonaje tuwakabidhi wawekezaji kutoka Dubai Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) ili tutatue tatizo la maji?

    Yes huku ndio wanapaswa serekali itutafutie wawekezaji,Hata huko Bandari pia lakini Mikataba iwe yenye manufaa kwa Nchi yetu,
  7. kajembejr

    Kwanini Wanawake wenye Mizigo hawatoboi?

    75% ya wanawake wenye Mikia kwa Bongo wametoboa Kimaisha.Wewe unaongelea wa Nchi gani?
  8. kajembejr

    Serikali: Aliyedai mtoto kageuka jiwe alidanganya. Alijifungua mtoto 1 wa kike na alikuwa kaweka ahadi ya mtoto wa kuime

    Sasa kwahiyo walikula Njama na wifi yake pia?Mana WiFi anasema alimpokea mtoto akiwa bado Binadamu lakini amekufa,Ila kufika kwa mama chumbani mama Ndio akagundua mtoto amefariki
  9. kajembejr

    ROMA ni Msanii wa ovyo. Aambiwe maua wanapewa wanawake

    Huna upeo wakufikiri!!huwezi kumuelewa ROMA.au Kama vipi uwe Andazi Utafunwe na Roma bila chai!!!
Back
Top Bottom