Recent content by kagaruki2

  1. K

    Naomba Kuchangiwa ada ya mtihani

    Pole sana ndugu. Mungu atakusaidia usijali. Chochote kitakachopatikana tutasaidiana.
  2. K

    Vipindi vya kuripoti vyuoni

    Eti jamani naonba kama unaelewa unifahamishe. Je kuna uwezekano wa kubadilika tarehe na miezi ya kuingia vyuoni??? Au itakuwa ni vilevilw mwezi wa 10.
  3. K

    TCU na HESLB Wanaanza kupokea fomu lini?

    Ki ukweli na mm nawasubiri sana
  4. K

    Niliacha Ualimu Serikalini, Nifanyeje ili nirudi?

    Nilikuwa sina. Yaani sikufanya lolote kuhusu hiyo post kwani nilikuwa nimebanwa sana na mkataba. Vyeti na nyaraka nyingine zilikuwa kwa shirika.
  5. K

    Niliacha Ualimu Serikalini, Nifanyeje ili nirudi?

    Sasa nadhani ni utendaji ndo unafuata.... On the way
  6. K

    Niliacha Ualimu Serikalini, Nifanyeje ili nirudi?

    Mwaka 2012 nilipata post ya ualimu mkoani kagera. Lakini sikwenda kuripoti kutokana na mkataba niliokuwa nao kwenye kampuni nyingine binafsi. Nimemaliza mkataba na nahitaji kurudi tena kwa serikali. Hivi huwa ni njia gani zinafuatagwa??????
  7. K

    Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

    Mengi yanasemwa kuhusu hili lakini uhalisia ni huu: mimi ni mwalimu kwa kazi yangu na nina uzoefu wa miaka miwili kazini. Ninayoyaona hapa kazini ni sawa kabisa na mnayoyasema hapa. Kuna wanafunzi wa aina mbili katika shule kwakuzingatia swala zima la mahusiano. Kwanza ni wale wanafunzi ambao...
Back
Top Bottom