Recent content by kabwa

  1. K

    Bungeni: Maswali ya 'papo kwa papo' kwa Waziri Mkuu

    hawa jamaa hawataki kukubali kwamba wanatuibia,yaani kazi tuliyowachagua watuwakilishe ni ya kukaa pale mjengoni,na ambayo tunawalipa mshahara na posho nyingine za kutosha,bado pia wanapata posho za kujikimu wakiwa mjengoni,sasa hizi sitting allowances za nini??????wizi mtupuuuuu
  2. K

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    names labda kikisha kipindi alichowapa wajirekebishe wasipojirekebisha atawataja
  3. K

    He need your urgent help please

    kwakuwa dhamira inayokusuta sasa ni kwa sababu umempokea Yesu, unaonaje ukienda kwa viongozi wa kiroho ukapata ushauri wa kiroho kwa jambo la kiroho? ingawa pia mnaweza kwenda kuomba msamaha kwa wazazi kwanza kama lengo ni kutengeneza
  4. K

    Kwanini kila ajali ya basi la mohamed inahusisha kupasuka tairi?

    kwa nijuavyo mimi mabasi haya yamejengwa kwa bodi ngumu na chesisi nzito sana kiasai matairi yanshindwa kuhimiri uzito yanaobeba,na ndio maana utaona matairi yote yaliyopasuka kwenye ajari hizo ni ya mbele kunakokuwa na mzigo mkubwa na tairi ni mbili tu[moja kila upande]
  5. K

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    performance ipi hiyo inasubiriwa kwa miaka minne haijaonekana kwenye idara nyeti kama hiyo?
  6. K

    Samahani sana Mbw....o

    done
  7. K

    Hatari ya kuwinda

    mkuu mi sijaona kitu
  8. K

    Samahani sana Mbw....o

    na mmoja wao niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mimi
  9. K

    ktk hili tigo wamefulia

    NO hurry in afrika, everything starts late but ends in time, kwa wasiojua ni kwamba baada ya tarehe 31 line ambayo haijasajiliwa haitatumika mpaka hapo itakaposajiliwa,ikitokea line yako hujaisajili mpaka muda huo opereta wako atalazimika kukufungia huduma hadi utakaposajili ndipo utarudishiwa...
  10. K

    Dr. Lawrence Gama ameaga dunia

    rip, mkuu labda aliona mbali sana wakati huo[1995]
  11. K

    Huyu mkubwa yuko wapi siku hizi?

    duhh mkuu punguza munkari
  12. K

    Do you Think you Understand the Stock Market?

    simple and clear, nimeipenda,laiti na hesabu tungekuwa tunafundishwa kwa dizaini hii ukiacha ile ya let x = ....
  13. K

    Mtoto akilea Mtoto Mwenzake

    NL umenikumbusha mbali kweli,wenyewe kule kwetu tunasema umwana lulilo
  14. K

    haka katoto mi nakapendaga!

    aaaaaa hapo ndio palikuwa penyewe KABWA KA KISUNGU[mbwa wa kizungu]
  15. K

    Mtoto afariki dunia baada ya kukeketwa

    kwahiyo sikuhizi daktari akimfanyia operesheni mgonjwa akifa daktari anashtakiwa?
Back
Top Bottom