Recent content by kaburu mdogo

  1. kaburu mdogo

    Unampakia vumbi la Congo mwanamke (demu) jua na mama aliyekuzaa ni mwanamke

    Acha watu wafaidi Maisha,watu wanazibua visoda we unazungumzia vumbi
  2. kaburu mdogo

    Alinipiga mizinga nikaambulia zero, eti sasa anaanza kunitafuta

    Hugo ni Malaya wa Badoo tu, piga chini bila huruma
  3. kaburu mdogo

    Kadi yangu ya Bima kutumika zaidi ya mara moja

    Shukrani, kesho jioni nitapita hapo
  4. kaburu mdogo

    Kadi yangu ya Bima kutumika zaidi ya mara moja

    Jana nilienda hospitali moja binafsi kupata matibabu kwa kutumia kadi yangu ya Bima. Wakati huo nilipata sms kuwa kadi yangu imetumika na kama sijui nitoe taarifa. Leo muda huu napata tena taarifa kadi yangu inatumika kwenye hospitali ile ile niliyoenda kupata matibabu wakati mimi nipo...
  5. kaburu mdogo

    #COVID19 Naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kuchanja Covid-19 Tanzania

    Naomba maelekezo ndugu zanguni jinsi ili niweze kujua jinsi ya kuweka booking kwa ajili ya kuchanja. Natarajia kwenda kuchanja wiki hii katika hospitali ya kairuki
  6. kaburu mdogo

    Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

    Ushauri mzuri sana huu japo kwa upande wa mwanamke unaumiza, ila atajifunza na atatulia kwenye ndoa yake hata akija Kuwa na mwanaume mwingine huko mbeleni hata kama afanye kosa kama hili kamwe
  7. kaburu mdogo

    #COVID19 Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

    Binafsi nashindwa kuelewa nia ya watu wanaosema mambo mabaya tu kuhusu chanjo, hebu acheni kutupotosha bana
  8. kaburu mdogo

    Mke wa mtu kanifunza kitu

    Hizi ni tabia na visingizio vya wanawake wanaopenda kutoka nje ya mahusiano yao. Kwanini wasikae ndani na kuyamaliza?
  9. kaburu mdogo

    Mke wa mtu kanifunza kitu

    Ukitaka kujua hadindishi ngoja akufumanie na mke wake
  10. kaburu mdogo

    Mke wa mtu kanifunza kitu

    Wake zetu siku hizi wakitaka kuchepuka wana sababu 2 au 3 za Kuwaambia michepuko yao, ambazo ni:- 1. Mume wangu ni mlevi 2. Mume wangu ni malaya 3. Mume wangu haniridhishi au akipiga kimoja basi. Kwa wenye uelewa, wastaarabu wana jina huyu ni malaya hana jipya. Vijana acheni tabia za kutembea na...
  11. kaburu mdogo

    Gentlemen Cars in town

    Kwani hii gari mpaka kuwa nayo mkononi bei gani kwanza
Back
Top Bottom