Recent content by Justine_Dannie

  1. Justine_Dannie

    Hii ni movie gani?

    The Gods must be crazy
  2. Justine_Dannie

    Unahisi hili basi linakwenda wapi?

    Linaenda mbele...prove me wrong
  3. Justine_Dannie

    Hii pesa ni Tsh. ngapi kwa Tanzania?

    Baisa..hawezi pata change Tz, hao wote wamepiga kwa Oman rial
  4. Justine_Dannie

    Nina miaka 29, natafuta Mume

    Mwalimu, muandiko wako unanipa wasiwasi elimu unayowapa wanetu..mbali na hilo Mungu akupe hitaji lako kadiri aonavyo inafaa.
  5. Justine_Dannie

    Novemba 1: Siku ya Watu Wasiokula Wanyama na Bidhaa zake Duniani (Vegans)

    Too bad I was born this day..boy I looove meat and it's product..
  6. Justine_Dannie

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Yaani mizigo yote hii, halafu kuna mwanaume anachagua kuwa shoga..! I don't get it..like how. Why?
  7. Justine_Dannie

    Nahitaji cover na protector za simu hii

    Ok, rahisi kukipata, ni suala la kunisaidia kuituma hiyo bahasha hapo ferry..nipostie mawasiliano yako hapo pm kwangu. Shukrani
  8. Justine_Dannie

    Nahitaji cover na protector za simu hii

    Mwenzangu unapatikana wapi?
Back
Top Bottom