Recent content by juniour12

  1. juniour12

    Na mimi ni banker yamenikuta

    Umesha mlaa??....Asiondoke bila kuliwa kwanza. Mwanamme haruki kiboom sema mpige Calendar mwambie mwisho wa mwezi ukipokea mshahara tena kwa kumuonyesha yupo kwenye hesabu zako mpigie hesabu kwamba utapeleka laki 4 kwenye tofali za kumalizia fence ya nyumba yako nyakato. Then umwambie utamtumia...
  2. juniour12

    Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

    Mkuu huyo jamaa kabila gani na huyo mke wake kabila gani???...Kuna kautafiti nakafanya.. Hizo taarifa zinaweza kuwa msaada kwangu
  3. juniour12

    Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

    Mkuu mbona ukikomaa na ccm utapata urithi aisee.... Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. juniour12

    Wanawake kwa Hili mnatisha sana!!

    Hii ipo tofauti na mimi aisee kwenye appointment na mademu huwa nachelewa kichizi yaani sijui kwanini huwa najivuta vuta kila mara nalaumiwa wana niambia yani wewe kaka muongo muongo ukisema saa 12 ni saa moja na nusu
  5. juniour12

    Kwa miaka ya sasa, haiwezekani kupata mwanamke wa aina hii

    Sio shida kumpa mwanamke pesa au yeye kukuomba....mfano kuna kutoa pesa pale mpenzi wako anapo kuja kukutembelea mimi huwa naita nime refund costs zake alizo tumia kuja kwangu na huwa naweka extra. Pia huwa mara moja moja najiongeza maana ananipigia simu mara kwa mara soo kuna cost ana tumia...
  6. juniour12

    Ndio natoka Polisi muda huu. Nashukuru Ujumbe umefika

    Nilicho gundua kuna mpumbavu mmoja aliye shindwa kumpinga mwenzake kwa hoja kwa wakati huo huo anahitaji mwenzake aamini anacho amini yeye, sasa akaona ajimwambafayi kwa kumpiga na kujaribu kumuonyesha yeye ni mpumbavu aliye juu ya sheria kwamba anaweza akampiga mtu kwa kutofautiana hoja.
  7. juniour12

    Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

    Daaah nimesoma hii thread hadi nikasikitika aisee nimegundua kumbe motoni naweza kujikuta peke yangu yaaani Daaah.![emoji17]...Sema ujana maji ya moto. Daah ninacho kumbuka mchezo mbaya nialianza mwaka 1997 sasa shida inakuja idadi sikumbuki maana kwa vipindi vyote hivyo temekuwa na House girl...
  8. juniour12

    Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

    Na wale madada poa tuna waingiza kwenye list au ni ya mademu tuu ulipiga nao mkataba??...Pia wale wa One night stand tuna wahesabu au?
  9. juniour12

    Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

    Njoo kwangu kuna boya mwenzako kaniacha kifala aiseee yaani hapa nina hasira ngoja nimalize K-vant yangu Daaah...Kweli December hii naenda kaskazin mwenyewe aisee daah poa tuu
  10. juniour12

    Bitegeko ni vigogo gani Bodi ya Kahawa Polisi wamewakamata Moshi?

    Hawa Bitegeko wana kampuni inaitwa AKIK ya maswala ya Ujenzi wa majengo na Barabara??? Huwa naona wana kazi nyingi za Barabara Moshi
  11. juniour12

    Mwenye utaalam nalo wakuu

    Au mila za kwenu haziruhusu kula kiporo???
  12. juniour12

    Mwenye utaalam nalo wakuu

    Ongeza nyama kwenye uzi wako alafu na ndomu au nyama nyama??
  13. juniour12

    MWANZA: Watu 4 akiwemo Afisa Mafawidhi wa Rasilimali za Uvuvi wauawa

    Umeelewa lakini alicho andika mwenzako???...Sasa sisi tulijuaje wewe kama ulikuwepo eneo la tukio. Leta habari acha maneno mingi
  14. juniour12

    Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Daaah mimi kumbe nakosea nakumbuka tangu nimeanza mahusiano na mpenzi wangu miaka mingi sasa sijawahi kujua mshahara wake ilinichukua a year kujua kazini kwake tena alinipigia simu anaumwa nikaenda kumchukua...Yaani siku hiyo ilikuwa vituko maana tunaelekezena kwenye simu direction ya kufika...
Back
Top Bottom