Umesha mlaa??....Asiondoke bila kuliwa kwanza. Mwanamme haruki kiboom sema mpige Calendar mwambie mwisho wa mwezi ukipokea mshahara tena kwa kumuonyesha yupo kwenye hesabu zako mpigie hesabu kwamba utapeleka laki 4 kwenye tofali za kumalizia fence ya nyumba yako nyakato.
Then umwambie utamtumia...
Hii ipo tofauti na mimi aisee kwenye appointment na mademu huwa nachelewa kichizi yaani sijui kwanini huwa najivuta vuta kila mara nalaumiwa wana niambia yani wewe kaka muongo muongo ukisema saa 12 ni saa moja na nusu
Sio shida kumpa mwanamke pesa au yeye kukuomba....mfano kuna kutoa pesa pale mpenzi wako anapo kuja kukutembelea mimi huwa naita nime refund costs zake alizo tumia kuja kwangu na huwa naweka extra.
Pia huwa mara moja moja najiongeza maana ananipigia simu mara kwa mara soo kuna cost ana tumia...
Nilicho gundua kuna mpumbavu mmoja aliye shindwa kumpinga mwenzake kwa hoja kwa wakati huo huo anahitaji mwenzake aamini anacho amini yeye, sasa akaona ajimwambafayi kwa kumpiga na kujaribu kumuonyesha yeye ni mpumbavu aliye juu ya sheria kwamba anaweza akampiga mtu kwa kutofautiana hoja.
Daaah nimesoma hii thread hadi nikasikitika aisee nimegundua kumbe motoni naweza kujikuta peke yangu yaaani Daaah.![emoji17]...Sema ujana maji ya moto.
Daah ninacho kumbuka mchezo mbaya nialianza mwaka 1997 sasa shida inakuja idadi sikumbuki maana kwa vipindi vyote hivyo temekuwa na House girl...
Daaah mimi kumbe nakosea nakumbuka tangu nimeanza mahusiano na mpenzi wangu miaka mingi sasa sijawahi kujua mshahara wake ilinichukua a year kujua kazini kwake tena alinipigia simu anaumwa nikaenda kumchukua...Yaani siku hiyo ilikuwa vituko maana tunaelekezena kwenye simu direction ya kufika...
Nakushauri subiri ufikishe 30 binti ndio uolewe kama ulivyo sema kwenye thread yako....Naamini wa kina Mwamposa watakuepo ...utakopo enda kuomba upate mume wa kukusitiri tutakuombea
Mmmmh....mimi kwa nilivyo muelewa mleta mada ni kwamba hana shida na sherehe wala kuona ni kitu kibaya....Point yake ya msingi nimeona kama anataka kujua hizo pesa za kufanya hayo yote anapata wapi?
Labda ni pesa(fungu) ambalo lipo chini yake kama mwenyekit wa kamati ya ulinzi mkoa?...au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.