Recent content by Jumaane

  1. J

    Hili la Zakhia Meghji kupiga kura upande wa Zanzibar linaongeza chumvi kwenye kidonda

    Hakuna mwenye akili yake atakaekubaliana na kilichosomwa, Bunge la KATIBA YA SITTA lilipoanza lilikuwa na wajumbe 630 (BARA 420 na ZANZIBAR 210) bunge lilipomaliza mchakato na matokeo ya Kura kutangazwa, bunge lilikuwa na waJUMBE 630 (BARA 411 na ZANZIBAR 219) kwa nini?? - kura zisipotosha...
  2. J

    Kwa wanaoenda JKT tu,someni hii na uliza chochote

    Vipi kuhusu pocket money. yahitajika ili niweze kusurvive?
  3. J

    Mh. Alli Kessy nusura apigwe na wabunge wenzake

    Subiri nimalizie bia yangu nije nikujibu
  4. J

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Waachiwe nchi yao, tuungane na Malawi
  5. J

    Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Nyombo Kisimbo (primary) Mikumangwa Ikalambwa (chuo) Mboya Makame (a level)
  6. J

    Naomba kujua kuhusu application za chuo kikuu

    Ukimaliza form 6 na kupata matokeo mazuri, hutachaguliwa kwenda chuo kikuu hadi ewe umeapply for university admission through TCU or individual university (for some universities such as MUM and others which arenot under CAS (central admission system)). Kama una nia ya kuminya mwaka huu kwa nini...
  7. J

    Rais Kikwete: Msiuone Muungano wa serikali mbili 'unaelea, umeundwa'.

    Inatakiwa serikali moja tu?? na nani? Ikiwa muungano ni wa wananchi. Na takwimu za Tume ya Kurekebisha Katiba zinaonyesha kuwa 60% ya watanganyika waliopendekeza mfumo wa muungano wametaka serikali tatu na less than 1% ya wazanzibar waliotoa maoni yao wamependekea serikali moja. Sasa unaposema...
  8. J

    Sherehe za Muungano zinatakiwa kuchangiwa na pande mbili za Muungano?

    Tanzania Revenue Authority (TRA) inakusanya kodi Zanzibar pia. Na hizo kodi za wananchi ndizo zinazotumika kugharamia sherehe.
  9. J

    Ngawaia umeikufuru Mamlaka Halali ya Z'bar. Rais wa Z'bar ni sawa na rais wa TFF?

    Michezo sio Suala la Muungano. Argument yako nini? Kwamba TFF inatambuliwa FIFA bado hakuifanyi michezo kwa ujumla au mpira wa miguu in particular kuwa ni suala la Muungano. Huo ni mfano mmoja wa Tanganyika "kuvaa koti la muungano" na kujipa hadhi yaTanzania isivyo halali.
  10. J

    Ngawaia umeikufuru Mamlaka Halali ya Z'bar. Rais wa Z'bar ni sawa na rais wa TFF?

    Ndio vile vya KUNYONGA chambilecho Lissu.
  11. J

    Ngawaia umeikufuru Mamlaka Halali ya Z'bar. Rais wa Z'bar ni sawa na rais wa TFF?

    Rejea hati ya Muungano iliyotolewa hadharani ukulu hivi karibuni. Mpira sio moja kati ya mambo 11 ya muungano. Kwa hivyo malinzi ni rais wa mpira wa Tanganyika tu. Urais wake mwisho Chumbe.
  12. J

    Angalia Video za Kongamano Kuzungumzia Rasimu ya Katiba Bwawani Zanzibar

    Angalia tena, mara hii ukiwa sober
  13. J

    Tanzania sasa kutokuwa na ardhi?

    Kwa mujibu wa rasimu ya katiba mpya "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 1.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi na Shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi mbili za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo kabla ya Hati ya Makubaliano ya...
  14. J

    Huu ndo ukweli kuhusiana na Wazanzibar na Mijadala yao

    Sasa COAST REGION na ZANZIBAR mbona ni sehemu tofauti. Leo kweli nakubali ule msemo "TO KILL A DOG, GIVE HIM A BAD NAME". Zanzibar kuna skuli kila baada ya kilometer. Wakati elimu ya lazima kwa bara ikiwa ni darasa la 7 -na wengi hawakuweza kuifikia/kuipata, kwa zanzibar ilikuwa ni form 3...
Back
Top Bottom