Recent content by JORAM LUKAS

  1. JORAM LUKAS

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ivi Samsung A21s ni kaka yake na A22 au ni mdogo wake?
  2. JORAM LUKAS

    Mtego kwa Halima Mdee na wenzake waliopo Bungeni ni kutompigia kura ya ndio Dkt. Tulia kuwa Spika

    Watampigia kura ya ndiyo maana huhitaji kuwa shekhe YAHYA kutambua hilo
  3. JORAM LUKAS

    Tsh milioni 600 za Uviko za vyumba za madarasa hazijulikani zilipo huko Mbarali

    Huyu jamaa anaandika thread za kitoto kweli.Luanga ipo mkoa gani hapa Tanzania?
  4. JORAM LUKAS

    St Francis ndio wanaotunga NECTA nini?

    To make things simple. Ukitaka akili za maana nenda shule za serikali. Kimsingi div I:15 ya Tabora boys ni bora zaidi kuliko div I:7 ya Kemebos. Kuna sanaa nyingi sana
  5. JORAM LUKAS

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mara paap,Senegal anafungwa na Commoros
  6. JORAM LUKAS

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Guinea ashakalia kidude. Wazee wa direct win tubet upya tu
  7. JORAM LUKAS

    Ifike wakati Rais akimtumbua kiongozi sababu ziwekwe wazi

    Kwani wakati wanateuliwa ulipewa sababu?
  8. JORAM LUKAS

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Kwani hao mawaziri ni wa mikoa au wa Taifa. Uzi wa kipuuzi sana huu
  9. JORAM LUKAS

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Mimi nadhani kama hoja yako ingekuwa kuna mteule asiyefaa. Vinginevyo naona kuna viashiria vya uchochezi maana badaa ya ya hapo utaenda kuchambua makabila yao na dini zao
  10. JORAM LUKAS

    Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

    Kuna uhusiano wa mawasiliano ya MUNGU nabii na akina Mdee? Kwa nini utaje baadhi ya waumini?
  11. JORAM LUKAS

    Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

    Ninachokiona mimi tunakaribia kufikikia siasa za Kenya
  12. JORAM LUKAS

    Mkopo wa trilioni 1.3: Spika Ndugai asifu uzuri wa madarasa Kongwa

    Hivi kwa nini kuna uhaba wa walimu?
  13. JORAM LUKAS

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Suns wameachwa range kubwa sana. Itoshe tu kusema wamepoteza mechi hii
Back
Top Bottom