Recent content by jooohs

  1. jooohs

    Dada zetu mnajidanganya sana kubeba mimba ukidhani hatokuacha

    Inatakiwa wajifunze hii tabia kujikimbiza kujitegesha kubeba mimba kwa kutegemea mtu atapata faida fulani imezalisha masingo maza kibao. Mwanaume akikupenda hata bila kujikimbiza kujitegesha kuzaa atakuoa tu kama hakupendi atakuacha aende kwingine
  2. jooohs

    Natafuta mchumba

    Humu utakutana na makungwi, mishangazi, wasimbe waliokata tamaa
  3. jooohs

    Binadamu tuweni na huruma kwanini unitapeli hadi mimi yatima jobless kabisa

    Jifunze kuwa positive. Kudeka sana unajiongezea mikosi
  4. jooohs

    Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

    Dokta ingekuwa vizuri ukajenga hoja sii tu kulazimisha kila mtu akubali mtazamo wako. Njoo na hoja zako ni athari gani mtu atapata anapoingia kwenye ndoa na mtu wa imani tofauti ikiwezekana na mifano hai.
  5. jooohs

    Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

    Mimi nadhani upendo wa kweli hauna mipaka. Sio tu udini hata ukabila, rangi, elimu, kipato etc Nyie wazee sijui huwa mnafikiria nini
  6. jooohs

    House4Sale Nyumba Inauzwa Vingunguti

    Ukipata hata wakukupa 20M chukua kimbia. Sasa kwa hiyo space Tajiri akivunja atajenga wapi
  7. jooohs

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Yaa nimekurusuhu labda ni kweli unanifahamu.
  8. jooohs

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Ee nitajie jina langu moja kama kweli unanifahamu?
  9. jooohs

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Aya basi usiende chuo ubaki kupambana na ujinga
  10. jooohs

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    Ndio hiyo hiyo dalili ama una nyingine? Kutoka na jasho usiku jee? Ila umeme huwa mtu anakaa zaidi hata ya miezi 3 ndio dalili za mwanzo kabisa hujitokeza halafu zinapotea
  11. jooohs

    Ewe Muajiriwa: Mara paap umesitishiwa ajira yako, utafanyaje?

    Mimi nadhani mtu akifukuzwa kazi atajikuta tu automatically anaingia kwenye mfumo mwingine either alijipanga ama laa . Mbona wengine ni jobless tunasurvive tu hivyo hivyo siku ikipita ndio unashukuru.
  12. jooohs

    Niseme nini, siwezi kueleza. Stori yangu na betPawa

    Mbona kama imetafsiriwa na google translate. Na kwanini kwenye tiketi yako odds kwenye mechi zote ni above 1.25 ndio ile ya kukidhi vigezo vya bonus? Mtaendelea kukosa wateja hadi mrudishe bonus ile ya 1000% bila vigezo.
  13. jooohs

    20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Majani huyu huyu?
  14. jooohs

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Mwenye masikio na asikie. Hata mazoea ya kujinga kijinga na kujichekesha kwa wake za watu sio vizuri.
Back
Top Bottom