Recent content by Joo Wane

  1. J

    Freddy Michael a.k.a Funga Funga

    Kama kuna siku nimeshangaa ni leo. Katika pita pita zangu youtube kuna mchambuzi wa soka nilikuwa namheshimu sana anajiita Dr. Mo nikamsikia akimsifia huyo Freddy kisa jana katupia dhidi ya KVZ eti apewe muda ni mfungaji mzuri. Freddy huyu huyu mwenye umbo la mpira na kimo kirefu lakini hawezi...
  2. J

    Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

    Hilo eneo la mkesha wahakikishe watu wa usafi wamefika kufanya usafi kabla ya saa kumi na mbili asubuhi vinginevyo yatakuwa yale yale ya mikesha ya mwenge kuzagaa "kwa msaada wa marekani"
  3. J

    Dar: Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko

    Vipi bado Jangwani bado hapapitiki? Wameshatoa tope au bado?
  4. J

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Haina mkuu natumia kitochi
  5. J

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Ndugu haufahamu vizuri tabia za mamba. Hilo dude la hovyo sana likiwa na njaa halina aibu wala nini. Likizidiwa na njaa linakamata binadamu hata nje ya maji japo nje ya maji ni mara chache sana na linakuwa halina nguvu sana kama linapokuwa ndani ya maji. Kama kweli mamba ameonekana wajulisheni...
  6. J

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Kabisa ndugu mkuu na bado anaonekana atapiga zaidi. Lakini naamini kilichomsaidia zaidi hakuwa mnywaji wa pombe kabisa.
  7. J

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Kama mdau alivyotangulia kusema hapo juu na mimi naongezea kidogo. Kabla ya kustaafu hakikisha una eneo angalau eka moja haijalishi ni mjini au nje ya mji. Jifunze ufagaji kuku hasa wa kienyeji ambao ufagaji wake hauna "stress" na pia jifunze kilimo cha bustani za mboga. Ukilipangilia hilo eneo...
  8. J

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Ubarikiwe. Vipi barabara ni lami, changarawe au vumbi na je inapitika kwa gari ndogo muda wote wa mwaka?
  9. J

    CCM yaanza kulamba matapishi yake

    Watadanganya wajinga tu tena zama hizi za mitandao watanzania wajinga wanapungua kila siku. Esther Bulaya kwa hili la kikokotoo huyu dada apewe maua yake. Ndiye mbunge peke yake aliyepinga ubovu wa kikokotoo toka siku ya kwanza mpaka leo hii. Hao wabunge wengine walikipitisha kwa mbwembwe na...
  10. J

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Nisaideni nikiwa Moshi Arusha highway unaingilia wapi kueleka huko? Na ni kilomita ngapi kutoka barabara kuu kufika huko? Je njia ya kufika huko inapitika kwa mwaka mzima kwa gari ndogo amabayo haina fourwheel? Nataka kufanya utalii wa ndani huko baadaye mwaka huu.
  11. J

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Nimepita sana Moshi Boma Arusha naisikia sana hii Kikuletwa hivi ipo karibu na wapi na ni kilomita ngapi kutoka njia kuu ya Moshi - Arusha. Pamoja na huyo mamba panonekana ni sehemu nzuri kwa utalii wa ndani.
  12. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Huyo mbunge Neema anasema baada ya kuelimishwa kaona kikokotoo kipo vizuri basi angetumia muda aliopewa na spika kuwashawishi wabunge wenzake nao waanze kukitumia. Na ikifika mwakani bunge linapovunjwa wasipewe mamilioni yao yote kwa mkupuo badala yake wapewe 33% halafu zinazobaki wapewe kidogo...
  13. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Kutoka mkoa gani au jumiya gani ya Chama cha Mapinduzi?
  14. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Ahadi mojawapo ya chama chetu kikongwe inasema binadamu wote ni sawa - 1. Kikokotoo kinachotumika kwa wafanyakazi kuanzia sasa kianze kutumika pia kwa wabunge wetu kwani watanzania wote ni sawa. Na kikubwa zaidi hata mbunge Neema kasema ni kizuri. 2. Viti maalum viondolewe ili kila anayetaka...
Back
Top Bottom