Recent content by JOKA55

  1. JOKA55

    Mpaka sasa Wizara zilizohamia Rasmi Dodoma

    Urais sio mtu ni taasisi....... Urais sio jeshi la mtu mmoja na taasisi lazima iongozwe kwa misingi ya sheria, tathimini za kweli, ushauri wa kitaalam. Kwa sasa inaonekana haya yote yanakosekana!!!
  2. JOKA55

    Hii ndio maana halisi ya Rasta

    Ukikutana na wale asilia utawagundua kwa urahisi sana, wapole, wana huruma, wastaarabu, hawapendi shari ila wapo wa kibongo ambao rasta kwao ni fashion..................
  3. JOKA55

    Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

    Akifanya hivyo atakua amethihirisha kiwango kikubwa cha uzalendo
  4. JOKA55

    Wazee Mwang'onda na Hassy Kitine waasisi wa TISS imara Tanzania

    huu uchaguzi ulikua kipimo kingine kikubwa cha ubora wa TISS, wamefanikiwa kwa kiasi fulani
  5. JOKA55

    Mbowe: A Dangerous Shift Against Democracy in Tanzania

    What is required here is to educate Tanzanians on the whole matter of democracy and not asking help from US and Europe, can't we think and solve our problems until calling those KENGES from west? I think we are old enough to solve our problems
  6. JOKA55

    Cunning Chinese ivory smugglers unmasked

    Nchi ishauzwa siku mingi, au ndo ule utekelezaji ile mikataba 17 ya siri kati China na Tz, ambayo wahusika walikataa kuiweka wazi?
  7. JOKA55

    Picha: Wachina hatupo nao hii dunia, barabara noma

    Kuwa kariakoo na maisha ya kudhalilika ni geresha, fuatilia mambo wanayofanya underground ni noma. Hawa jamaa wanaitafuna nchi vibaya, kwa sasa wapo karibu kila mkoa na wangi wao wanafanya kazi za kawaida ila kuna uhuni mkumbwa wanaoufanya kimyakimya
  8. JOKA55

    Mwanga: Prof. Maghembe kwisha habari yake!

    Jana wagombea wa CCM katika nafasi ya Ubunge na udiwani jimbo la Mwanga walikua wanajinadi kuomba kupigiwa kura itakayofanyika tarehe 1 August. Walikua eneo la Kisangara na alichoambulia Maghembe kuzomewa, huku wenzake wakishangiliwa sana. Alivuruga aliposema mradi wa maji kutoka Nyumba ya...
  9. JOKA55

    Episode 1: Chama hatari cha Majesuit

    Baadhi ya maandishi ni kweli, ila hawa jamaa wapo kulinda na kutetea imani ya kanisa katoliki. Swali sio uhatari wake ila ukweli ni kwamba haya majamaa yanasoma sana na elimu zote sio tu mambo ya dini bali pia elimu zingine. Kwa hawa jamaa kuwa na doctrate tatu au hata zaidi za mambo tofauti ni...
  10. JOKA55

    Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

    Huyu ni mwizi kama wezi wengine, __ Amepiga hiyo hela ndo maana hata kutafuta wadhamini alitumia ndege ya kukodi, mwizi mkubwa! __ Anatumiwa na Wachina, Waisrael, Wamarekani kufanikisha madeal yao ya wizi hapa nchini, mwizi mkubwa! __ Anatumiwa na shirika moja la kijasusi kwa manufaa ya nchi...
  11. JOKA55

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    Akili anazo ila sio kiongozi! Kuna madudu mengi kayafanya yanayomdis katika dhima nzima ya kuwa kiongozi bora
  12. JOKA55

    Tanzia: Mwandishi wa Habari, Edson Kamukara afariki Dunia kwa ajali ya moto wa gesi

    R.I.P Comred, wote tu wasafiri kuelekea huko ulikotangulia
  13. JOKA55

    Cable ya Kibalozi kuhusu Tanzania

    -- Tulilemazwa, ila baada ya muda kuna mikoa ilishtuka wakaanza kufanya kazi kwa bidii, mpaka sasa kuna baadhi ya mikoa ina maendeleo kuliko mingine. Hata hivyo kuna watu wa nchi nyingine wakija hapa nchini wanatushangaa kwa rasilimali tulizonazo afu bado tunalialia. -- Fikiri misitu iliyopo...
Back
Top Bottom