Recent content by JOHN ze DON

  1. JOHN ze DON

    MKALIMANI WA KIJERUMANI ( GERMAN TRANSLATOR )

    anatafutwa mkalimani wa kijerumani, kama unamjua naomba tuwasiliane, nitumie meseji inbox.
  2. JOHN ze DON

    Mkalimani wa kijerumani (German translator)

    Anatafutwa mkalimani wa kijerumani, kama unamjua naomba tuwasiliane, nitumie meseji inbox.
  3. JOHN ze DON

    Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    kumbe swala la ajira ndo kabisaaaaa,.
  4. JOHN ze DON

    Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    ndugu mimi nateseka sana na hivyo vitu, nimeshasali sana, nimelala na Bible, nimelala huku naskiliza Qur'an, nimelala na mfupa wa nguruwe, nimelala na vitunguu(atleast kinamsaada japo hakijamaliza tatizo),nimelala na masizi, nimesomewa Albadill, hadi nimeenda mara mbili kwa waganga lakini...
  5. JOHN ze DON

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimejitoa rasmiiii...., nimeshindwa kubet kistaarabu acha nijiengue maana hamna namna, asubuh mpka jioni nawaza mpira mpaka naota napanga mikeka usiku lakini kichapo kipo palepale, gundu langu nimekuachia wewe unaesoma hii msg,........(hahaaaaa!! just a joke), but thanks to KEIKIU kwa...
  6. JOHN ze DON

    Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    kufunua vingi!!!! inamaaana unamaanisha kuona mauzauza ama???
  7. JOHN ze DON

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    leo tar 28/12/2016 saa TISA na nusu za alasili kwa mujibu wa saa yangu, naapa kuwa endapo mkeka niliouweka kwa stake ya 4,500/= ili ilete 17,320/= ukichanika basi itakua ndio mwisho wa kubet kabisa, natamka haya kwa moyo wangu na kuandika kwa vidole vyangu bila shuruti ya mtu yoyote, hili ni...
  8. JOHN ze DON

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    TANZANIA inakubali???, na wanatoa cash ontime???
  9. JOHN ze DON

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nimeipata hebu wapigie 0764-700700,.
  10. JOHN ze DON

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kweli we ni mtoto wa nzi,. haya bhana,.
  11. JOHN ze DON

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hiv hawa premier huwa hawana number za simu mpaka e-mail tu????, kama kuna mwenye number zao ànisaidie,.
  12. JOHN ze DON

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ngumu kumeza, hakuna cha boxing day wala cha boxing week, jamaa anakwanguaga 2,.
Back
Top Bottom