Recent content by jlm

  1. jlm

    Muda gani baada ya kutoa IUD naweza kupata ujauzito

    kwapani? hii loop inawekwa kwenye uterus
  2. jlm

    Muda gani baada ya kutoa IUD naweza kupata ujauzito

    ni contraceptive sina uhakika kama inaitwa vipandikizi
  3. jlm

    Muda gani baada ya kutoa IUD naweza kupata ujauzito

    Habarini, Nahitaji kujua kama kuna mtu ana uelewa zaidi au experience ya ni muda gani ukitoa An intrauterine device (IUD au coil) au wengine wanaita loop, unaweza kupata ujauzito. Niliweka IUD ya copper about 4 years ago na nataka kuitoa, kama kuna mwenye experience ya hii msaada plz
  4. jlm

    Tukumbushane: Historia ya Wahehe wa Iringa

    post nzuri ahsante.. lakini nahisi kama majina ya watoto wa kiume tu hakukuwaga na wa kike
  5. jlm

    Mwanamuziki Adele

    Adele ni moja kati ya wanamuziki wanaonibamba sana nikisikia nyimbo zake huwa zinavuta hisia.. ukianza na Someone like you, Rollin in the deep, Skyfall etc Alikuwa kimya kitambo lakini sasa hivi ametoka na Hello..imesha hit views almost 90m ndani ya siku tano kwenye you tube.Album yake mpya...
  6. jlm

    Ukweli wa Kustaajabisha Kuhusu Nyota za Angani

    Yah tulifundishwa kwnye somo la Phsics kama introduction muda mreefu sana uliopita, very interesting subject..natamani kufahamu...
  7. jlm

    Ukweli wa Kustaajabisha Kuhusu Nyota za Angani

    ahsante kwa uzi mzuri..mimi nahitaji kujua jinsi ya kuzisoma hizo nyota zikiwa angani. Kuna maumbo ambayo hujipanga na yana maana yake.
  8. jlm

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Mkuu una uhakika unachokiongea? au umetumwa na kuchafua na mifuko mingine? nina mifano ya watu wengi wamestaafu wamelipwa na PSPF mafao yao ni bora kuliko mifuko0 mingine hilo halina upinzani.. Hizo ni marketing za mifuko isiokua na mafao yanayoeleweka kama LAPF vile...
  9. jlm

    Strike back

    Ni Series nzuri kuangalia hasa wanaopenda mambo ya u-spy, intelligence agencies na kupigana.
  10. jlm

    Would you keep your ex-lover’s photos?

    Nazichana chana tu..za nin?
  11. jlm

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Its a very nice Series ipo based kwenye vitabu vya A Song of Ice and Fire; ni nzuri na dialogue yake ni bomba sana; inahusu mapambano ya familia (clans tofauti tofauti) wanagombania kuongoza Seven Kingdoms..., Mpaka sasa series imeingia episode ya nne na mwandishi ameshaandika vitabu sita; cha...
  12. jlm

    Kinadada week end hii na nyie lipeni bill

    na bado hela ya lace wig, kucha, shopping shear illussions na mr.price...utajijuuu..unadhani kuna vya bure..ndo ukubwaa huoo
  13. jlm

    God gives us what we deserve...

    duh hataree
  14. jlm

    God gives us what we deserve...

    Ok sasa hapo inakuaje kwa suala la mtu kuzaliwa kwenye familia duni na familia inayojiweza? sababu wengine maisha tangu wamezaliwa ni ku struggle tu lakini wengine ndo kazaliwa familia au ukoo yani hafikirii hata kesho yake itakuaje sababu ipo yani everythng z thr always..hapo inakuaje?
  15. jlm

    God gives us what we deserve...

    The saying is; God gives us what we deserve. It's a popular saying that people like to use but I'm curious about it. Does He, really? So if you have a bad husband, bad friends, family members, colleagues etc, it's because you deserve it? If bad things happen to you, it's because you deserve...
Back
Top Bottom