Recent content by jibabaz

  1. J

    Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Duu nimepita juzi nikienda Moshi na hizo barabara 4 kwa kweli ni miyeyusho tuu..badala ya kupanua kwa kutumia changarawe zinazowekwa chini kislammi juu yake wanatumia udongo..sasa na malori yetu haya itakuwaje? mmm
  2. J

    Michuzi Blog, hii ni sawa?

    Yaani kumbe Dr Shayo ndo ana Phd ya hapa?? Kaazi kweli kweli..mmhhhh
  3. J

    Michuzi Blog, hii ni sawa?

    Natanguliza shukrani kwa bro Michuzi DC wa naniii pale kwa huduma yake nzuri anayoitoa kwa jamii kuwasilisha "niuzi" kwetu sote. Swali langu linakuja hapa, Ni kwamba kuna tangazo pale juu kabisa mara baada ya kuingia kwenye website ya michuzi after tangazo la Ndovu. Hili ni Tangazo la Chuo...
  4. J

    Serikali yaonya wanaochafua VIONGOZI kwenye mtandao

    Kweli. Pia kuongeza, ukiona mtu mchafu ukamwambia aisee ndugu yangu we umechafuka, hio ni kosa? Ama la hawa viongozi wetu wamezoea kuvimbishwa kichwa. Mijitu mikubwa lakini laaa..yaani wanataka umwambie kuwa eeh unafanya kazi nzuri, watu wanawasingizia. lakini unakubalije kusikia uongo juu yako...
  5. J

    EYE SPY: Adieu peace and tranquility!

    "We all know that those tactics have a limit. Sooner or later the people get used to strong-arm tactics. Then they will fight back. They fought back in Kenya, didn't they? One thing CCM should know is that they cannot force the people of Tanzania to love them, even by brandishing clubs at them...
  6. J

    Ufisadi ndani ya Ikulu!

    Hivi what happened na ile ishu ya White House kutumie e mail za yahoo.com licha ya kwamba walitenga milioni 32 (somewhere around there) kwa ajili ya matumizi ya www hapo kulu? Yaani mmhh
  7. J

    How much would you pay to see Beyonce?

    Hapa ATL bora niende zangu kwenye ma stripper wa nguvu body kali kushinda beyonce..walau kila dolainayokwenda nina uhakika wa kugusa sehemu mojawapo ya mwili..sasa huyo b mmh yukombali lol
  8. J

    Wizara ziwe hivi

    Mwana, kaiweka hio..ila def wizara ya wanawake, watoto lazima iwepo maana they are still minorities so lazima wawe na sehemu yao..
  9. J

    Kesi ya ufujaji ya Mattaka PPF iliishia wapi?

    Skills jamaa Mataka aliwekwa benchi kabisa mbona? Akaanza kuwa promoto wa mashindano ya mamiss ndo mara akaja muungwana akamrudhisha kwenye chati. Sasa ili arudi katika level yake ikabidi awe na spidi kali ya kula pesa pale ATCL mpaka aikie level yake ya zamani na kuipita. Baada ya...
  10. J

    ROSTAM vs. MENGI PART III

    Abelene Paradox?? ama..
  11. J

    Mabomu Mbagala yadaiwa kulipuka kwa uzembe

    Yaaaaaaaaaaaaawwwwwwwwwwwwwwwwnnnnnnnnnnnnnn!!! (mwayo) What is new??
  12. J

    Hotuba ya Mkapa ambayo niliikubali, lakini sasa!?

    Nikuulize MKJJ..how much ofthe speech imepigwa desa? Kama ni more that 10% basi ni straight "paljarism" na pia kama hakuweka reference (sijui kama speech zina reference) basi nayo ni wizi/matumizi ya kazi ya mtu mwingine bila kumpa reference. But then ndio maana inakuja kwamba pia ni muhimu...
  13. J

    Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

    Mutua i think this post is irrelevant. Labda kama ungekua na swali dogo kama hili ungem PM mmojawetu tungekujibu. Hamna ubaya wowote..ama wee unaonaje? maana kama ni wananchi kuchoswa na mabomu i dont think that stands. Labda useme wanawatishia wananchi ili waichague Chi Chi Em hapo maybe..
  14. J

    Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

    MMMMhhh hapa patamu. Dr Shayo, Dr Mashaka nani zaidi? Mi nadhami Mr Mengi ambae walau yeye anachukia mafisadi. Sijaona hata moja wa hao jamaa hapa yaani Mashaka na Shayo wakitoa tamkojapololote kukemea ufisadi, na sidhani kama waliongelea hata kaa ufisadi ni one of the elements...
  15. J

    Mattaka aaga rasmi ATCL

    Jamani lakini si walisema badala ya kutumia vitu vipya which vitacost a lot of energy to make, ni bora tutumie recyles? Ama nakosea maana ukiangalia toileti paper ni recyle, paper plates recycle, vyuma recyled, viongozi wetu nao recycled sasa kuna ubaya ganii??
Back
Top Bottom