mbona hiyo imekuwa kawaida kwa hao wanaojiita sekretariet ya ajira. wanatangaza kazi kupumbaza taifa. Mi nimeshuhudia mtu kaajiriwa chuo cha Maji DSM position inatangazwa baadae. Nampigia we vipimo mbona nimeona tangazo la kazi unayofanya wewe? Jibu language ni kwamba acha hayo mambo ya chini ya...
hivi sisi wa Tz tunaghushi mpaka urembo barabara shule hospitali si tutazibinua bati chini msingi juu tuone ni dawa na tufanye kazi bila shidaaa. uui tubadilikeni tuache maujanjaujanja ya kwingine hayafaii aibu zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.