Recent content by James Lwakatare

  1. J

    Kwa wanachadema tu!

    Asante mkuu, nashauri 2012 uongozi wa juu wa chama ujikite vijijin,kwani tayari tumeenea mijini, lkn idadi kubwa ya walala hoi wa kitanzania wako vijijin ambao ndio wapiga kura weng. Ningependa kumuomb Dr.Slaa alivalie njuga jambo hili na kuweka malengo thabit ya kupata vti ving ktk chaguz za...
  2. J

    Polisi vs chadema..?!!

    Hivi nyie jeshi la polisi mmetumwa nn? Wabunge wa cdm wamewakosea nn?hv leo dr. Slaa angekuwa rais mngethubutu kuwatesa na kuwadharirisha wabunge wetu wa kipekee kiasi hiki? Jana mmemkamata mh Sugu,jan 5 mwaka huu mliwasweka ndani wah,Freeman Mbowe,Philemon Ndesamburo,mbunge wa Rombo,Joseph...
  3. J

    Maji ni kitendawili,mimi nitaoga lini?

    Siku ya 3 sijatia tonye la maji mwilini, zaidi ya jasho linalonitiririka usiku kucha,kwa sababu viyoyozi ni kitendawili kwani hakuna umeme mitaa ya kwetu. Nikifikiria nguo zangu nlizovaa wiki nzima cjafua, nikiwaza kwenda kazini na nguo chafu,tena hazijanyoshwa akili anipi jibu la haraka.WAT...
  4. J

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Kama mnavyojua rage ndie kiongozi pale,alafu ana uhusiano wa karibu na kikwete.ndio maana ata mwaka jana walisaidia kuanda birthday ya kikwete.mnategemea nini
  5. J

    Elections 2010 Natangaza Nia

    Naomba ridhaa yenu ndugu watanzania,niwawakilishe mjengoni kwa miaka mitano kuanzia 2020-'25 kupitia jimbo la Nkenge,Kagera. Thn nitakua sawia kuwataka ridhaa yenu kuongoza nchi mwaka 2025-.. Roho inauma kuona 2nakwisha, msihofu mtetezi anakuja.PAMOJA TUTAWEZA!
  6. J

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Rais siyo tija,wala mawaziri siyo tatizo lakini uongozi uliopo ndo kizungumkuti. Binafsi nimechoka na huu uliopo kwani hata akija mtu mzuri vipi, bado kuna mizizi haijang'olewa!
Back
Top Bottom