Maji ni kitendawili,mimi nitaoga lini?

Jun 20, 2011
6
1
Siku ya 3 sijatia tonye la maji mwilini, zaidi ya jasho linalonitiririka usiku kucha,kwa sababu viyoyozi ni kitendawili kwani hakuna umeme mitaa ya kwetu. Nikifikiria nguo zangu nlizovaa wiki nzima cjafua, nikiwaza kwenda kazini na nguo chafu,tena hazijanyoshwa akili anipi jibu la haraka.WAT SHULD I DO MA COLLIGES?ppo r dying of hunger , iliyosababishwa na kiu ya maji!?.. If these r the outcomes,sio wote wenye makosa,jamani hivi kweli hatuwezi kuingia mtaani tukatafuta haki yetu kwa nguvu?! YES WE CAN! W'RE FED UP,2mevumilia vya kutosha,its enough guyz, Wenyenazo wako mjengoni wanachekeana na kupigiana makofi na vigeregere as if bungeni ni ukumbi wa kitchen party?!
 
Siku zote mwenye shibe hamjui mwenye njaa.....sanasana usipofanya jitihada mwenyewe, hakuna atakayekukumbuka hata siku moja.
Wanapokutana bungeni wanasema kuwa nchi yetu ni nchi yenye amani na neema nyingi.
Lakini laiti wangepiga picha ya miaka angalau mitano ijayo basi wangejua kuwa tumechoka vya kutosha sana na kama hali ikiendelea hatuna jijnsi bali ni kuingia mtaani kwa nguvu zetu kudai haki zetu.
 
hayo ni kwa sababu ya uongozi mbaya tulionao. Change We Need.
 
Back
Top Bottom