Recent content by J.T

  1. J

    Hadithi, Simulizi au Riwaya gani bora kabisa humu JF ambayo umewahi kuisoma?

    Mwanafunzi mchawi season 2 ilitoka?
  2. J

    Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

    Yes, nimefanikiwa. Naye atafute bila kuchoka atapata tu
  3. J

    Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

    Asante dada kwa kunipa connection ubarikiwe sana.
  4. J

    Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

    Asante kwa kunipa moyo
  5. J

    Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

    Ndiyo mradi niingize kipato
  6. J

    Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32 Naishi Dar es salaam Nimemaliza form six Nimesomea Air Ticketing Nina experince ya zaidi ya miaka 5 kwe flight reservation Nina experince ya miaka 2 kama receptionist kwenye 4 star hotel. Kwasababu ya Corona kampuni niliyokuwa naifanyia kazi biashara imeyumba...
  7. J

    teh teh teh

    so fanny
  8. J

    Maandishi kwenye t-shirt

    Mwingine imeandikwa "I hate my mom"
  9. J

    Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

    mmmh nadhani hii inategemea mtu na mtu, manake nilishakuwa na uhusiano na wanaume wakisukuma halafu mi ndo nikajikuta nawapenda na mwisho wa siku nikaambulia kulia. Japo hawajui kuacha lakini tabia watakazokuonesha utajikuta unamuacha mwenyewe. Sitaki hata kuwasikia ila sitaki kulaumu kabila...
Back
Top Bottom