Recent content by Iramusm

  1. Iramusm

    Ushauri: Nimemuacha mume wangu yeye hataki kumuacha mkewe

    Hadithi yako ni nzuri, hongera
  2. Iramusm

    Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

    Ushamba sio dhambi, kwa hapo huna hoja
  3. Iramusm

    Hernest Briyock Malonga (21) has been offered to Simba for the left-back position

    Toa credit ulikocopy kwa MickyJnr, ni uungwana pia
  4. Iramusm

    Cleaner/Mtu wa Usafi Ofisini Anahitajika

    Jaribu kujali utu mkuu
  5. Iramusm

    Kunena kwa lugha ni nini? Na nini hutokea pale mtu anaponena kwa lugha?

    Kumbe wale Wasabato Masalia walikuwa sahihi , maana walitaka waende Ulaya kama Ureno, Ufaransa ,uingereza wakahubiri wakati wao wanaongea Kiswahili tu
  6. Iramusm

    Siyo kila mzazi anayeachiwa malezi ya mtoto peke yake katelekezewa makusudi, hapana

    Ngoja nikusaidie, iko hivi, mtoto no wako. Mama wa mtoto wako ameanzisha uhusiano mwingine, inawezekana sababu hujaonyesha kuwa na future naye. Huyo bwanake mpya kampa sharti la kukata mawasiliano/connection na wewe. Kikubwa kinachowaunganisha ni mtoto so hatua ya kwanza ni kumuhamisha mtoto...
  7. Iramusm

    Hivi kwanini Serikali isiajiri wahitimu wote kama wanavyoajiri walimu na kada zingine za afya bila interview?

    Cha kwanza jiulize kwanini walimu na hawafanyiwi interview? Ukipata hilo jibu ndo utajua kwanini kada zingiwe wanafanyiwa
  8. Iramusm

    Msaada: Naomba nijue stahiki za watoto wangu

    Nakushauri mrudie mumeo ndo salama yako
  9. Iramusm

    Raila Odinga na Kalonzo Musyoka wapokonywa walinzi

    Mkuu umenichekesha kinoma.That's the main reason why he shouldn't wait for 2027.
  10. Iramusm

    Ushauri: Mpenzi wangu amempa mimba msichana mwingine

    Duh ishu ya 2017 hadi 2023 bado mnatoa ushauri tu
Back
Top Bottom