Recent content by IGWE

  1. IGWE

    Tafuta hela, Kariakoo majengo yanaota kama uyoga

    Ni ya nani mkuu
  2. IGWE

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    ....alikufa kwa ajali ya helicopta Kisongo huko
  3. IGWE

    Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    .....kwahiyo buddha,hindu,islam etc nao wataamini huu ujinga na upuuzi ulio andkia hapa? duniani kuna dini zaidi ya 3000 sasa kujustfy kitu serious kwa imani yako ni zaidi ya upumbavu
  4. IGWE

    Human being; Very complicated gods experiments

    inafikirisha sana mkuu
  5. IGWE

    Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    nina wasiwasi hata huto tujini kama kweli tupo mkuu....ni mawenge tu
  6. IGWE

    Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    .....kuna jamaa yangu aliambiwa mke wake na mtoto wake mdogo ni wachawi. Huyu Musa wa Temboni ni hopeless sana....kavunja familia ya watu...howcome mtoto wa miaka 8 akawa mchawi.
  7. IGWE

    Njia za kutoa pete iliyokwama kwenye kidole kilichovimba

    ukifa mke wako ataolewa mkuu
  8. IGWE

    Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Kwahiyo babu na bibi yako walivyokufa walichoma Quran?..Mtume Mohammed alivyokufa naye alichoma Quran? ...akili zenu ni matope kabisa.
  9. IGWE

    Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

    Hata mimi sipendi kuambiwa maneno marahisi ya aina hiyo i,e nakupenda,pole,samahani etc...nafikiri tuna tatizo mkuu
Back
Top Bottom