Search results

  1. IGWE

    Dorothy Semu achukua nafasi ya Zitto Kabwe ACT Wazalendo

    Mshahara wake utakua bei gani mkuu.
  2. IGWE

    Enzi hizo Pepe Kalle na Hidaya Khamis Masawe

    Hidaya hakuwahi kwa taxi driver.....alikua dada wa mjini aliyejua kutumia mwili wake na uzuri wake kutafuta pesa...alimiliki benzi miaka ya 90...mengine ni sahihi.
  3. IGWE

    Nini kilichofanyika hadi wewe au rafiki kuacha ulevi wa kupindukia?

    ...hakuna kuacha mkuu...kila mtu apambane na kitu roho inataka.
  4. IGWE

    Nini kilichofanyika hadi wewe au rafiki kuacha ulevi wa kupindukia?

    mimi nakunywa na sina stress kabisa...kuanzia ndoa,familia na hata vijisenti vya kubadilisha mboga sio haba sana...ila sasa kuanzia ijumaa jioni mpaka jumamosi saa6 ni pombe na mimi-never miss. nakunywa weekend tuuuu...weekdays sipendi hangover kibaruani
  5. IGWE

    Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

    Ninajenga yenye vigezo kama hivyo hapo Kyela kwenu imekula zaidi ya 19mill...bado hata wiring. ...nafikiri azingatie hilo ulilomuulize..."unatuma watu wakusimamie ?"...pengine itamsaidia ila hii ya kutuma mtu wanapiga hata kama ni ndugu
  6. IGWE

    Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

    ...aiseee
  7. IGWE

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ulawiti ndio uovu wa mafadha mkuu
  8. IGWE

    Dark days 17/03/20...

    Uzi mmeugeza unekua wa dini.....si sawa
  9. IGWE

    Kwa haya maagizo ya Mungu juu ya Taifa la Israel (1 Samweli 15: 2-3) Kanisa halina budi kuomba

    ........ahahahaaaaaaa inafikirisha sana mkuu eti Mungu kawatuma waue watoto,wanawake mpaka mifugo-aliwaumba ili wauawe.
Back
Top Bottom