Recent content by Huihui2

  1. Huihui2

    Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

    Anakata punk kama vijana wanaovaa mlegezo
  2. Huihui2

    Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

    Tundu Lissu ni mtu wa kutumwa tu, hafai kwa maamuzi ya mwisho. Tofauti yake na Magufuli ni ndogo sana. Wote ni madikteta na bongo zao zinapata moto
  3. Huihui2

    Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

    Je wasemaje kuhusu ule mkutano wa Babati?
  4. Huihui2

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Wengine walisimamia mengi lkn hawakuwa ma kipengele cha propaganda kama wengine. Magufuli hata akikohoa ni habari, akienda kanisani Jumapili na dunia yote inajua na wasanii wataongea usiku na mchana. Wananchi kwa attn kelele zitafika kila mahali pigisha kula utapata analysis Analysis ni pale...
  5. Huihui2

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Mimi ni wa Nyanda za Juu ila simkubali Januari. Anapeta kwa sababu ya Msoga connection. Otherwise ni mburura tu kama Makonda
  6. Huihui2

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Makamba hana kitu. Debate akasimame na Dotto Magari au Mwijaku. Kwenye duru za managerial performance hakuna anachojuwa. Weka CV yake hapa tuone alichosoma
  7. Huihui2

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Ni vizuri alipewa Wizara nyeti na sisi tumeona uwezo wake wa akili na uongozi. Huyu mwenye tamaa za kuwa Rais baada ya Samia ametudhihirishia kuwa hana uwezo wa kuwa Rais wa nchi.
  8. Huihui2

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Hapo siasa za uchaguzi zinaanzia wapi? Mbona mimi naona kama Waziri mstaafu yuko kwenye mishe za utafutaji baada ya kufulia kifedha
  9. Huihui2

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge...
  10. Huihui2

    Yawezekana Miundombinu ya DSM ni Bora kuliko ya Nairobi Mafuriko yamedhihirisha hilo, tunaishukuru CCM na Rais Samia

    Watu 2,500,000 wanaishi Kibera ambayo ni makazi duni (slums). Watu hawa ni kama 60% ya wakazi wote wa Nairobi.
  11. Huihui2

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Hata aombewe na mashehe na wachungaji wote, hizo sala hazina maana kama hataonyesha ni wapi alimzika Ben Saanane na Azory Gwanda. Pia arudishe magari na fedha za matajiri na viwanja alivyowarubuni. Na mwishowe atuambie ni nani alimtuma kumshambulia Tundu Lissu akiwa bungeni mwaka 2017...
  12. Huihui2

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Hawa Mwenyekiti wa Mkoa na Mbunge wa CCM watatuharibia Mbeya yetu. Ni virusi tu kwenye siasa za mkoa. Upinzani lazima uchukue jimbo la Mbeya
Back
Top Bottom