Search results

  1. Huihui2

    Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

    Wanachoma makanisa, wanachukia nguruwe halafu lazima usoni uwakute na sigida
  2. Huihui2

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Kama hujasoma shule utamjuaje Adolph Hitler? Ungekaa kimya tusingejua kama wewe ni mweupe kichwani
  3. Huihui2

    Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

    Ukipata muda na kama hali ya uchumi inaruhusu basi tembelea na nchi moja Afrika inaitwa Senegal. Senegal Waislamu wanafika 90% lakini hawana shida kabisa na Wakristu ambao ni minority yaani less than 10%. Ila njoo sasa uwaòne Waislamu wa hapa Buza kwetu, utakimbia
  4. Huihui2

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Akina Aggrey Mwanri, Prof Kabudi nanAlhad na Kangi Lugora walikuwa wanamuita "Mheshimiwa mungu" naye alikuwa hakatai.
  5. Huihui2

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Wewe si Mhaya tu!! Kabila lina dharau sana hili.
  6. Huihui2

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Hata Adolph Hitler amegoma kufa tangu mwaka 1945. Mijitu miuaji, mijitu midhalimu, mijitu mikatili tutaijadili sana ili taifa letu lisiingie tena kwenye makosa ya kuleta SHETANI kuwa Rais wa nchi yetu pendwa
  7. Huihui2

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Wewe shoga nenda TBS kajichukulie mfuko wako mmoja wa kg 25, achana na sisi tunajitambua
  8. Huihui2

    Kiongozi wa Bavicha, Deusdetit Soka aliyekuwa mahabusu adai amepigwa sana

    Yeye ana ustaarabu gani?. Akija kisengerenyuma anashughulikiwa kisenge pia
  9. Huihui2

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Sanasana Mabeyo anasikika ana kakicheko fulani hivi. Kwenye vile vicheko kuna vitu amevificha, tuzidi kumpa muda
  10. Huihui2

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Usijifanye unajua sana kutafsiri tafsida au mafumbo. Hotuba ya Mabeyo siyo ya kuifanyia ubashiri. Wote tumesikia wala haina mikunjo au mikwaruzo Huo utabiri wako wa 2025 ifanyie familia yako tu iondokane na umaskini wako. Rais Samia tunaye hadi 2030
  11. Huihui2

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Nimependa mchanganuo wako pia. Nami naongeza kidogo. Hao akina Mabeyo, Diwani na Sirro hawakumjulisha Makamu wa Rais kipindi anaumwa kwa kuogopa namna Magufuli atakavyo REACT ikiwa atataoka hospitali akiwa amepona. Kuhusu kumtaarifu Makamu baada ya Magufuli kufariki nadhani walikuwa kwenye...
  12. Huihui2

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Kutumbua ndiyo nini? Ni ujinga tu alioanzisha Magufuli kisha wananchi wajinga wakawa wanaitikia kama chorus. Kwa mfano alimtumbua Wilson Kabwe akiwa anazindua daraja la Nyerere pale Kigamboni. Kisha Wilson Kabwe akafariki baada ya siku chache. Je wewe Raia mpya ulipata nini kwa kitendo hicho
  13. Huihui2

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Magufuli alidhani mnafiki Cardinal Pengo angemponya hivyo wangekutana na Janet nyumbani, ndiyo maana akamtaka Pengo
  14. Huihui2

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Yote hiyo ni ina describe namna Magufuli alivyokuwa ana operate nje ya mfumo rasmi. Makamu wa Rais Samia alikuwa kama picha tu, au boya. Watu ambao Magufuli alikuwa anawashirikisha mambo nyeti ya nchi ni akina Bashiru Ally, Makonda, Dotto James etc. Kwa hiyo hata akina Mabeyo, Diwani na IGP...
  15. Huihui2

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Umejibu kitaalamu sana, hujaacha hata chembe ya mashaka. Kongole denoo JG Niongeze tu kusema JPM alikuwa na underlying conditions kama HIV, alifungwa defibrillator ambayo ilikuwa tayari chakavu na vilevile alikuwa na ka mental fulani. Hamna namna angeweza kukatiza mbele ya COVID-19 hasa hasa...
  16. Huihui2

    Mazuri ya Rais Samia na Mabaya ya Hayati Dkt. Magufuli

    Huu utumbo uliovunda hauna soko hapa. Umetupotezea muda tu kusoma, japo sijafika mwisho
  17. Huihui2

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    zitto junior umepigaje hapo??? (In Misomisondo voice)
  18. Huihui2

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Ukiona mlango wa choo, amka kwenye ndoto, la sivyo utakata gogo kitandani.
  19. Huihui2

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Ungejuwa ni kesi ngapi ziko ICSID na ngapi tumekwisha garagazwa na tunalipa billions of dollars kwa sababu ya maamuzi yake ya HOVYO, usingeandika huo utumbo
  20. Huihui2

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Usinichagulie cha kuandika wewe pimbi
Back
Top Bottom