Recent content by Huck

  1. Huck

    Tanroads Lindi wameshaita au bado?

    Wadau ningependa kujua kwa anaefahamu kama zile kazi za wahasibu tanroads lindi zilizotangazwa mwezi wa 5 kama tayari wameshaita kwa ajili ya usaili au bado
  2. Huck

    Msaada: Nahisi tarehe ya usaili shirika la Posta imekosewa

    walioitwa kwenye usaili majina yamewekwa kwenye web gani?
  3. Huck

    Msaada: Nahisi tarehe ya usaili shirika la Posta imekosewa

    kesho we nenda ofisi za posta za mkoa uliopo kamwone meneja
  4. Huck

    Msaada: Nahisi tarehe ya usaili shirika la Posta imekosewa

    LABDA HUO USAILI UNAFANYIKA MKOA ULIOPO AU MAKUSUDI TU:A S-rap:
  5. Huck

    CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

    jibu hoja we memba wa ISIS
  6. Huck

    CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

    yan ccm wenyewe wanazidi kutuongezea sababu kwanini tuwaondoe madarakani
  7. Huck

    CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

    mafuta yaliporomoka alafu dollar ikapanda. eti eee yan mmeacha kuongeza kodi kwenye vitu vya anasa kama bia na soda mnakuja kuongeza kwenye nishati ili kila sector ipande garama alafu iweje sasa
  8. Huck

    Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

    NIMEFURAHI SANA, WAMEONA MTU MWENYWE KABAKIZA MIEZI MI4 AACHIE MADARAKA , WA NINI AMANZA KUIONA CHUNGU YA KUTOKUA RAIS HATA KABLA YA KUMALIZA:typing:
  9. Huck

    Watangaza nia wa CCM wamejisahau kama wao ni watawala

    ......Hotuba za Watangaza nia wa CCM zimejaa malalamiko ya kila siku ya Wabunge wa upinzani ambayo Watangaza nia wamekuwa wakiyakejeli bungeni.
  10. Huck

    Kashfa ya Escrow: Mnikulu Shabani Gurumo atimuliwa Ikulu

    Me nilizani yuko jela, kumbe ktimuliwa ikulu ili akatumie vzur
  11. Huck

    Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Wakati MC akimkaribisha Joji Khama kwenye jukwaa kuongea kwenye mkutano wa kutangaza nia amenukuliwa ''Joji Khama ndo alikua akitumwa na Mwlimu Kwenda kufuatilia mipango ya mapinduzi''
  12. Huck

    Kumuweka bamdogo kugombea Urais, ni kwa maslahi ya wachache na sio Taifa

    Nawashangaa sana wanaosema baba anaangushwa na wasaidizi wake wakat yeye ndo mastermind wa madili yote alafu baba mdogo aliwekwa ile wizara ya kimataifa ile alinde maslahi ya familia
  13. Huck

    Msaada: Ratiba ya uandikishaji BVR

    Wadau naomba msaada wa kupata ratiba ya nec ya kuandikisha bvr
  14. Huck

    Je andazi moja linaweza kubeba calories kiasi gani?

    Wadau nafanya diet kupunguza uzito, ningependa kujua andazi moja lina calories kiasi gani
  15. Huck

    Usanii wa NBAA kwenye usahili :

    kumbe shida yako ni kufanya wizi? pole
Back
Top Bottom