Wadau ningependa kujua kwa anaefahamu kama zile kazi za wahasibu tanroads lindi zilizotangazwa mwezi wa 5 kama tayari wameshaita kwa ajili ya usaili au bado
mafuta yaliporomoka alafu dollar ikapanda. eti eee yan mmeacha kuongeza kodi kwenye vitu vya anasa kama bia na soda mnakuja kuongeza kwenye nishati ili kila sector ipande garama alafu iweje sasa
Wakati MC akimkaribisha Joji Khama kwenye jukwaa kuongea kwenye mkutano wa kutangaza nia amenukuliwa ''Joji Khama ndo alikua akitumwa na Mwlimu Kwenda kufuatilia mipango ya mapinduzi''
Nawashangaa sana wanaosema baba anaangushwa na wasaidizi wake wakat yeye ndo mastermind wa madili yote
alafu baba mdogo aliwekwa ile wizara ya kimataifa ile alinde maslahi ya familia
Estella Mgaya, kutoka Seniour Accountant wa Vodacom mpaka Senior ACCOUNT TECHNICIAN WA NBAA, Kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyu mwanamama.
https://www.linkedin.com/pub/estella-mgaya/33/b70/177
Je ni kweli kwamba ejaculation kwa mwanaume inasaidia kupunguza uzito? kama ni kweli ni kwa kiasi gan per single ejaculation?
je a single ejaculation ni sawa na kukimbia kwa umbali gani?
msaada tafadhali
ESTELLA MGAYA, anataka kazi zote yeye au?inawezekanaje mtu awe shortlisted kwenye all advertised vacancy in the same organization ambayo still anaifanyia kazi?
bodi wameharibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.