Recent content by hembeeza

  1. H

    Nishati na madini Count down: Maamuzi mazito yanakuja

    Kaazi kweli kweli!! naona wanatufanya sisi wananchi mapoyoyo...Mie nshachoka na siasa za humu nchini kwetu.
  2. H

    Nishati na madini Count down: Maamuzi mazito yanakuja

    Kaazi kweli kweli!! naona wanatufanya sisi wananchi mapoyoyo...Mie nshachoka na siasa za humu nchini kwetu.
  3. H

    Natamani kurudi home

    Kaka Tz ukiwa na kazi yako nzuri na sehemu ya kuishi hupigiwi kelele na kodi ya nyumba, life is good maan! Mavyakula ya kufa mtu sio ya mikebe. Ila kwa usahuri Dar pamejaa full majotrooo na pollution za kila aina. Dili ni Mbeya (but unaishi kwa machale huko manake wanatoa roho za watu fasta...
  4. H

    Nuclear plant in tanzania

    Wewe Dick, swala a kuwa senior na junior ndo umeona jibu tu ama? We nawe huna hoja mbona wengine wameelewa, u nid takwimu will provide dem for ya! Tz u have a long way to go mpaka muweze kuinvent hiyo kitu. North Mara ni mfano tu mdogo huo lakini luk wat happened!
  5. H

    Nuclear plant in tanzania

    Im worried about thing that tanzania plan to build nuclear plant eti kama part ya kusolve power shortage. Hii inaingia akilini kweli? do we have an area for waste disposal? hivi watu wanakumbuka issue ya chernobyl?? its almost 20 years has`passed since that incident a mpaka sasa haijapatikana...
Back
Top Bottom