Nuclear plant in tanzania

hembeeza

Member
Sep 6, 2010
5
0
Im worried about thing that tanzania plan to build nuclear plant eti kama part ya kusolve power shortage. Hii inaingia akilini kweli? do we have an area for waste disposal? hivi watu wanakumbuka issue ya chernobyl?? its almost 20 years has`passed since that incident a mpaka sasa haijapatikana solution on waste disposal. hiyo ni kwa wenzetu walioendelea. sasa inakuwaje kwa nchi kama yetu?
 
Umepata wapi hizo habari? Isije ikawa ni hizo propaganda za Chama Cha Majambazi wakati huu wa Kampeni! Wamefikia mpaka kuahidi Computer kwa kila mwanafuzi kwa shule za secondari inayotumia umeme(sijui wataupata wapi huo umeme au zinatumia nguvu ya jua) wakati dawati la sh 5000 limewashinda!
 
Im worried about thing that tanzania plan to build nuclear plant eti kama part ya kusolve power shortage. Hii inaingia akilini kweli? do we have an area for waste disposal? hivi watu wanakumbuka issue ya chernobyl?? its almost 20 years has`passed since that incident a mpaka sasa haijapatikana solution on waste disposal. hiyo ni kwa wenzetu walioendelea. sasa inakuwaje kwa nchi kama yetu?

Acha uoga wewe? Maendeleo hayaji kwa watu waoga, we must be agresive. Kuhusu waste disposal I am sure lazima watakua wameshajiandaa, na dunia saizi ina teknolojia nyingi tu ya ku handle wastes from any kind of mining wastes. Labda ujenge hoja serikali imejiandaaje kusimamia sheria za mazingira. Nuclear Power plant south africa wanayo and there is no problem. Acha uoga.
 
Huyo Hembeeza anakuwa na megaphone mentality. Tunaambiwa kuwa kuna technology zinazostahili kwa akina siye na kuna zile ambazo wanasitahili wakubwa peke yao. Na akina Hembeeza wanakuwa vipaaza sauti vyaa hila hizo. Tusipoanza sasa unategemea tuanze lini? Tutapeleka watu shule wajifunze namna ya ku-handle nuclear technology. Kama Iran na Korea ya Kaskazini wanaweza kwa nini sisi tusiweze? Chernobyl ilikuwa ajali. Kuna lessons watu walijifunza kutokana na hilo. Hata marekani ilishatokea sehemu inaitwa Three Mile Island kwenye miaka ya 1970 ingawa haikuwa kubwa kama Chernobyil. Hilo halikuwafanya Warusi au Wamarekani waachane na nuclear technology.
 
Kama mmeshidwa ku-manage waste za migodi ya dhahabu hapo north mara una ujasiri gani wa kusema mnaweza ku-manage radioactive materials; na ni nani aliyekuambia kuwa hakuna matatizo ya wastes hapo south africa au nchi yoyote inayotumia Nuclear Energy, ni kwamba wameamua ku-ignore siyo kwamba hakuna matatizo! kuna vyanzo vingi vy nishati ambavyo ni salama Tanzania hatujavitumia, ingekuwa vyema tukatumia hivyo na tuachane na hii madness ya kujenga kinu cha nuclear kwanza hatuweza ni gharama kubwa, Soth africa iliwacost Randi Bilion 120 au Dola bilion 75, ni Zaidi ya trioni 120 za kitanzania, bajeti yako ya mwaka huu ilikuwa sh ngapi kaka! Usishabikie vitu usivyovijua vizuri!
 
Tufanye yale ya Juma na Roza kwanza ambayo tunayamudu na hatujishughulishi kuyafanyia kazi,hayo ya kuiga kila wafanyalo wakubwa ndio tunajikuta tunakuwa mazezeta kila siku tunaletewa makapi ya teknolojia zilizotumika huko na zikija huku ni matatizo kila siku. hiyo Nuclear nadhani wakati wake bado kwa TZ tusishabikie mambo kwa kuwa wakubwa wanafanya..na tukumbuke siku zote "kwa Mwoga hakuna kilio"
 
Im worried about thing that tanzania plan to build nuclear plant eti kama part ya kusolve power shortage. Hii inaingia akilini kweli? do we have an area for waste disposal? hivi watu wanakumbuka issue ya chernobyl?? its almost 20 years has`passed since that incident a mpaka sasa haijapatikana solution on waste disposal. hiyo ni kwa wenzetu walioendelea. sasa inakuwaje kwa nchi kama yetu?

Habari hizi ni za kweli na kwa taarifa yako leo saa nane mchana chuo kikuu cha Dar es salaam, Department of Mechanical and Industrial Engineering, Block O, Room O-112 kutakuwa na maada inayohusu "Nuclear Power Plant Introduction: Requirements, Experiences and Current Status of Tanzania" itakayo wasilishwa na Prof. I.S.N. Mkilaha (Director General, Tanzania Atomic Energy Commission). Hivyo kama ni mdau unakaribishwa
 
nuclear waste disposal za nchi nyingi zinapelekwa marekani kwenye maeneo ya milima ya brooky hundreds of KMS underground
 
haya ndio maendeleo yenyewe tuache uwoga! maendelea hayaji bila sacrifice, umeme wa mabwawa wa kukatika ovyo tumeuchoka
 
Jamani huyu ni junior member haswaaaa. Habari anazoongea hazina uchambuzi, uhalisia wala takwimu!
 
Wewe Dick, swala a kuwa senior na junior ndo umeona jibu tu ama? We nawe huna hoja mbona wengine wameelewa, u nid takwimu will provide dem for ya! Tz u have a long way to go mpaka muweze kuinvent hiyo kitu.
North Mara ni mfano tu mdogo huo lakini luk wat happened!
 
Naona kuna haja ya kufika uko mapema as Kenya hawana uranium wanataka weka kinu sisi tumebwetekaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom