Recent content by HeartBreaker

  1. H

    Kubenea Tuambie Sasa

    Mimi sijui kama Ridhwani alihusika au la, ila kuhusu hiyo bold ni kukuonyesha tu kwamba inawezekana akahusishwa vilevile coz watu huangalia nani anaweza kutusaidia wapi kivipi kwenye swala flani. So kama waliona wanaweza kumtumia somewhere kwa sababu flani, kuwa intern hakumzuii kuitwa kusaidia...
  2. H

    Kwani lazima kuoana?

    Kwa mawazo yangu nDoa ni lazima hasa kama huwezi kabisa kuishi useja. Pia ndoa ni lazima kama una ndoto za kuwa na mtoto coz anatakiwa awe na malezi ya pande zote. Pia ndoa ni lazima kwa sababu ukiwa na familia utakuwa na akili ya kupanga matumizi yako knowing kuna watu wanakutegemea. Cha...
  3. H

    Do You Know This?

    Hwa B-Blue financial Service wako pale Raha Towers, namba zao za simu ni 0222126861/63. Ni kweli kampuni imekaa kiwizi sana. Tatizo la watu wengi Tanzania ya siku hizi wameshakuwa brainwashed sana na mambo ya mikopo, yani mtu akisikia mkopo anakurupuka tu na sidhani kama hata interst rates...
  4. H

    Do You Know This?

    Hodi janvini kwa heshima na taadhima. Mimi nimeguswa na kusikitishwa na wizi unaofanywa na hizi financial institution zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali. In my case i will use B Blue iliyopo pale bibi titi road kona ya kuingia posta mpya though inarepresent others. Jamani hawa ni...
Back
Top Bottom