HeartBreaker
New Member
- Mar 8, 2008
- 4
- 1
Hodi janvini kwa heshima na taadhima.
Mimi nimeguswa na kusikitishwa na wizi unaofanywa na hizi financial institution zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali. In my case i will use B Blue iliyopo pale bibi titi road kona ya kuingia posta mpya though inarepresent others. Jamani hawa ni makaburu wa south afrika na wanakopesha pesa kwa wafanyakazi wa serikalini tu, tena mkompo ni wa within 24 hours eti ushapata, Cha kusikitisha kilichonifanya niandike hili ni kwamba hawako wazi kwenye mikataba yao, na kwa watanzania hasa hawa walimu wetu na manesi ambao ndo wateja wao wakubwa wanaumizwa sana bila kujua, Mtu anapewa mkopo wa laki tatu analipa million moja na zaidi bila kujua wakati anasaini. Sijui ni uvivu wa kutofikiri kwa watanzania, au ni elimu ndogo ya mikataba, au ni umaskini, whatever the reason, kuna tatizo. Yaani hii ni daylight robbery. Kuna siku nimemwnona mama mmoja analia kama mtoto pale coz analipa kiasi kikubwa na kumbe alisaini bila kujua. Na hata wafanyakazi pale one of them being a close friend who decided to quit that job due to its nature ya kuwaibia watanzania alisema wanaambiwa wadanganye, yani wasiweke bayana mkataba wanapoenda field kutafuta wateja. Sasa ni kweli tutanyamaza na kuangalia wananchi wetu tena wale maskini wakiendelea kunyonywa na hz kampuni za nje? Knowing Jambo forum ni sauti ya wanyonge, nalileta kwenu ili lifatiliwa kwa undani tuwaumbue hata kwenye media ili tuwaponye wananchi wetu maskini wanaoenda kukopa bila kuelewa the inside motive ya kuwachuna. Na nyie watanzania mnaokubali kutumiwa kuwaibia watanzia wenzenu acheni.Na nyie mnaokopa, hivi kampuni gani inaweza kukupa mkopo ndani ya masaa machache hivyo bila masharti na nyie bila kufikiria mnakurupuka tu then baada ya mwezi mkianza kugundua mchezo mzima mnaanza kulia. Natoa mwito tulifatilie kwa makini hili jamani hili tatizo limewakuta wengi sana na hakuna wa kuliogelea.
Mods kama si mahala pake feel free to move it.