Recent content by harrysonful

  1. H

    Elections 2010 Kama Kweli 6 ni Chuma Cha Pua: Fanya Hili............................

    Kwa yeyote anaeweza kuwasiliana na sita ni vema akamshauri kuwatafuta wale woote wanaomkubali yeye kama sita ili wamuunge mkono mtu wa upinzani..hapo watatoka tu labda uchakachuzi uingie mpaka kwa wabunge wenyewe..mfano sita akipata watu 40 wanaomuunga mkono na chadema wakaunganisha na kafu basi...
  2. H

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    uongozi wa chadema wa bwn zitto na dk.slaa pamoja na wanasheria tayari wako shinyanga kushughurikia suala hilo..mwenye updates atujuze
  3. H

    JK kumpooza Masha na cheo gani?

    Hatimae aliekuwa mbunge machachari aliemwagwa huko nyamagana mwanza laurence masha aka lau amewekewa matumaini ya kuula upya tena kwa ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi baada ya kuahidiwa kupewa mojawapo ya nafasi zifuatazo ili ajilie maisha na bata kama wasemavyo watanzania..akizungumza kwa...
  4. H

    Elections 2010 CONFIRMED: Mzee wa 'Vijisenti" Chenge ashinda

    Kama hujui jqmbo usianze kugesi acha upuuzi wako wa kutuma uongo....chenge ametolewa na udp..usitudanganye wanamageuzi.kuwa mstaarabu bwana
  5. H

    Elections 2010 NEC ni taasisi mojawapo kama uvccm na uwt ndani ya CCM, hili limewekwa hadharani

    pengine iwekwe hadharani kuwa tume ya uchaguzi ni moja ya taasisi zilizowekwa kwa ajili ya kuibeba ccm. Hii imewekwa wazi na mmoja wa wapiganaji wetu ambae amesema wazi daima ccm imejiwekea utaratibu wa kuwa na watetezi ktk kila secta mfano.bot,mahakama,nec na sekta nyingine na inafanya kazi...
  6. H

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    Ni kweli matokeo ya shelembi yamechakachuliwa tena hadharani na tume walimtangaza mshindi..after watu kuondoka manispaa yakatangazwa mapya..jamani kuhusu shy ni kweli na wala hakuna uongo just make a call to friend o relative in shy.mambo kwao si mazuri hata kidogo,,redio zingine eti ccm...
  7. H

    Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

    nasema hao walotangaza shy ccm imeshinda ni maharamia,, tume iliwatagazia wananchi wa shy kuwa chadema imeshinda then tbc wakasema ccm imeshinda eti tume ilitangaza ili watawanyike.nasema kumamae waache kuwafanya watanzania ni kuku wa kisasa(bloilaz) tena waache upuuzi wa kijinga. Na machafuko...
  8. H

    Elections 2010 CONFIRMED: Dk Mbasa atangazwa mshindi Biharamulo Magharibi (CHADEMA)

    wana JF KUHUSU SHY MJINI TAARIFA ZINAKANGANYA MAANA TUME CHADEMA, TBC CCM KIPI NI KIPI?
  9. H

    Elections 2010 Mara hakufai kabisa (huzuni)

    rorya bado,, vipi same mashariki na rombo?
  10. H

    Elections 2010 Vurugu Mbeya Shule ya Loleza sekondari yachomwa moto

    acha wachome tu tena wamchome msimamizi wa uchaguzi wa jimbo maana ndo mamluki huyoo. mkamateni mmtie adabu.. ni ujinga kutunza upuuzi kaka huu,choma woteeeeeeeeeeeee
  11. H

    Tanzania's National Electoral Commission is toothless

    Mmewatangazia watu chadema imeshinda shy na tena tbc wanatangaza ccm imepita kwa kura moja.. Msituchezee kabisa.
  12. H

    Elections 2010 CONFIRMED: Getrude Mongela aanguka Ukerewe

    haya mambo yanmeiva sasasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Naye Getrude Mongela ameshindwa kutetea kiti hicho dhidi ya mpinzani wake Salvatory Naluyaga wa Chadema. source::::Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza
  13. H

    Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA wanyakua jimbo la Ilemela

    Siwez sema tena mambo yalivokwenda,,, jioneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee masha hoi dialo pwaaaaaaaaaaaaaaaa
  14. H

    Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    Matokeo ya ubungo tunayataka maana tumechoka kuzungushwa toka mchana
  15. H

    Elections 2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

    Hatimae majira ya saa 1 kasoro kumi hivi mwanza kimeeleweka kwa kura 38elf za wenje dhidi ya 27elf za masha wa nyamagana.. Sasa nina amani maana shinyanga nayo pameeleweka na maswa zote mbili pia meatu.. Hongereni wapiganaji
Back
Top Bottom