Heshima kwenu wadau,
Naombeni msaada wa link za kuamini za mitandao zinazouza magari toka SA kama zile za Japani ambazo ni za kuaminika na si za kitapeli. Kuna gari aina ya toyota hilux ya mwaka 2010-2012 nataka kuagiza SA maana nasikia bei rahisi, ASANTENI.
Heshima kwenu wadau,
Naombeni msaada wa link za kuamini za mitandao zinazouza magari toka SA kama zile za japani ambazo ni za kuaminika na c za kitapeli. Kuna gari aina ya toyota hilux ya mwaka 2010-2012 nataka kuagiza SA maana nasikia bei rahisi, ASANTENI.
Wagala kwa chuki hamjambo, umetoka ngudu umekuja dar na ww unajifanya Unatoa maona juu ya misikiti ya dar punguani kweli wewe, Rudi kule kwenu kulikojaa mabucha ya nguruwe na makanisa hapa dar tuachie wenyewe
We kweli kiazi, kama hujaelewa uliza usikurupuke. Serikali imesema itatoa bei elekezi kwa viwanja vitakavyopimwa na Halmashauri au mawakala wa kupima viwanja sio viwanja vya mtu binafsi
Kwanza unatakiwa uwe na certificate of DE-REGISTRATION, kutoka nchi husika, Yaani kwa mfano gari ulikuwa unaitumia tz sasa unaipeleka Kenya, lazima tra waiondoe kwenye mfumo wa usajili wa tz ili iwe huru, pili unatakiwa uwe na barua ya interpol kutoka nchi husika ambapo gari hilo linatoka ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.