Hawa mwalimu ni wale ambao cheti ni cha primary baada ya kujiendeleza walipata diploma in secondary hivyo waliazimwa tu wakiwa wametokea Shule za msingi hivyo serikali kuwarudisha sio kosa kwani ukiazima ni sharti urudishe watanzania acheni choko choko
Ccm ni chama kutoka kwa mungu.watu wengi humwaasi mungu lkn akichoka huko hurudi kwa baba na mama yake kama mwana mpotevu tutakupokea ucijali.na itakuwa shangwe na vigelegele kama wafanyavyo malaika huko mbinguni mtu anapokuwa ameo okoka.
Mm naipenda Ccm kwan INA mipango inayopimika mh.Rais wetu wala hana tatizo lolote kwan dira tayari ameitoa kwa nchi nzima na maendeleo yana onekana.kanunua ndege,katoa watumishi hewa,wanafunzi hewa,mambo mazur bandarini,madawti yapo ya kutosha kila shule ,elimu bure,anawalipa wapinzani bungeni...
we we unaponda tu mbona hausemi kuwa anajali watumishi kama mwalimu,kamsaidia yule alotobolewa macho milioni kumi,vipanya road vilianza kuzuka kavidhibiti,mwacheni Mtoto wa watu afanye kazi kama mmeanza lugha za ushawishi kwa Rais wetu kipenzi amtoe hawezi anawafahamu watanzania vizuri Hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.