ni kweli kuoana kunatofautiana ila ni bora kumaliza masomo ili ukija ktk ndoa uwe unahangaikia kazi na mumeo, ila kwa masomo ya vyuo tatizo hakuna.:pound:
ha ha ha ha,wala usipate tabu ya kwenda loliondo kwa babu, mimi nimetoka juzi tu huko nanimemuomba vikombe vitatu 3, nimekuja navyo na nimeviweka kwenye freg, njoo nikupatie kimoja bei maelewano ila sio sh 500.
ha ha ha ha ha ha, kwanza mambo vipi? mzima wewe ngoja nikupe kirefu cha ipp ila ucje angua cheko na ukazimia kwa masaa yasiozidi 5, kirefu cha IPP NI (INTERNATIONAL PUMBA PRODUCER)
:mod: THANKS.:dance:
BYE:A S 103:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.