Hiyo ni kweli. Mtu anawaza mchele usiuzwe nje, kwani mtu wa ndani alizuiwa kununua? Au ni hii tabia ya kuwadharau wakulima? Tunawazuia kuuza mazao yao nje ya nchi penye bei nzuri halafu wanaenda kununua vitu vingine kama sukari, majani ya chai nk. kwa bei wauzaji. Kwanini mkulima asiuze mazao...
Tunafurahia mazao kutokuuzwa nje ya nchi ili wakulima wetu wafilisike? Mbona vitu vingi tunauza nje na hakuna tatizo? Mbona Tanzania inanunua nguo kutoka nje badala ya kutumia pamba na hakuna tatizo? Mimi siungi mkono zuio la mauzo ya mazao nje ya nchi kwa sababu soko la ndani linawahujumu sana...
Hiyo scheduled repair inanyika wapi na saa ngapi? Huu ni uhuni tu kuzungumzia mambo jumla jumla. Umeme unakatika muda usioleweka na na ukipita mitaani huwaoni hao wanaofanya scheduled repairs?
Waziri uwaambie TANESCO waweke tangazo kwenye magazeti yenye kuonesha ratiba ya Scheduled repair...
Kwa mfano, mpokeaji anakuwa yupo Mbeya na mlipaji yupo Dar. Mnakubaliana muda wa mtuamaji kufika kwa Wakala wa Dar na muda wa mpokeaji kufika kwa wakala wa Mbeya na kutumia vielelezo na kama picha ya mtumaji na mpokeaji, miamala inafanyika kama kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.