Recent content by Gonjajin

  1. G

    Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka

    Dear Ngurudoto Acha watu wa JF waendelee kuhoji na kupigia kelele mabaya yanayotokea nchini. Mabaya na uzembe wa viongozi wetu mbalimbali yatakapopungua basi hata hizo Healthcare na ICT development zinaweza kuboreshwa haraka haraka. Viongozi wetu wanahitaji kujua kwamba cheo sio "kuukata"...
  2. G

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    Wow Confession, This thing has gone waaaay beyond my mental capacities. Needs to re read the thread.
  3. G

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    Wajameni Mimi naona kwamba idea kubwa hapa ni "Ndivyo tulivyo" na "Ndivyo nilivyo" VS "Sivyo tulivyo" na "Sivyo nilivyo" Pande zote mbili zinaweza kutoa mifano kibao ya kudhihirisha wanayoyajadili, hivyo basi mimi sinta taja kwamba nipo upande gani, nitaacha mawazo yangu yajieleze. Mimi...
  4. G

    ATCL: Another Richmond!

    Jamani hata mimi sanduku halifunguki. limewekewa seal nini?
  5. G

    Mtanzania anaweza Kutajirika

    Ndio Wajameni. Naona kama tunaanza kutoka nje ya kichwa cha habari cha "Mtanzania anaweza kutajirika", lakini yote ni positive. Wajerumani wana system yao ya project planning inaitwa ZOPP. Ni kifupi cha maneno ya kijerumani ambayo yanaweza kutafsirika kama "Object Oriented Project Planning"...
  6. G

    A New Music FYI...

    Sichezi mbali unga nusu kilo na robo...
  7. G

    Mtanzania anaweza Kutajirika

    Wajameni natanguliza heshima. Mimi naamini kwamba mtu yeyote kujitajirisha ni kutokana na kufanya kazi kwa bidii huku ukiangalia mianya ya kufanyia biashara especialy za production. Katika hili la mianya ya biashara, mtu unatakiwa kuwa mtafutaji wa information na kuwa quick to act pale...
  8. G

    Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

    Kwanza nitoe pole na pongezi kwa Mac na Mike kwa yaliyowakuta. Inadhihirisha kwamba JF imekua na inaendelea kukua. Hawa jamaa wa usalama pamoja na polisi wana take advantage ya watanzania wengi kutokujua haki zao na wajibu wao. Polisi wanafikiri kwamba wanaishi katika zama za kutishia watu...
  9. G

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Hili la kumuomba EL asijiuzulu sijui linahusu vipi bunge. Barua ya kujiuzulu ameandikiwa rais, kwa hiyo sidhani kama bunge lina msingi wowote wa kumuomba asiachie ngazi.
  10. G

    US Election Coverage 2008

    Mimi nina imani Obama anapita. Yule jamaa anaweza ku energize watu so mchezo.
  11. G

    Zitto Vs Spika

    Wajameni natanguliza heshima, Kuna analysis alifanya Mzee Shivji kuhusu hizi taratibu za bunge. Kwa mtu anayejua ilipo tunaomba link ili kwa wale waliosahau tujikumbushe. Mimi ninamsapoti Kabwe 100% especially kwa ajili ya kuweka precedent. Na wale waliofananisha hii move ya Kabwe na...
  12. G

    Exclusive: TANESCO's Audited Report from PPRA

    Jamani Jamani, 'Political influence forced TANESCO to waiver from principles of the contract'' Who are these political influences??? "no performance bond attached with the contract" WTF?????? Jamani hata kama ni kula, kuleni kwa akili. Mkataba bila ya kuwa na njia ya ku CHECK perfomance...
  13. G

    Hawa wako wapi sasa?

    Hivi, kati yenu hakuna waliohamishwa toka Tambaza wakaletwa Moshi Sec? miaka ya mwanzo ya 90.
  14. G

    Kwa spidi hii Rwanda watatuacha

    ''tulipeni dola mbili kwa kilo na tutajenga hospitali na shule wenyewe''! Kwa sisi wabongo We should take royalty ya madini kama asilimia kumi tu, hizo shule na mifuko ya uwezeshaji tutachangia wenyewe....
  15. G

    JF Exclusive: The Buzwagi Contract

    1. Hivi kwa nini Royalty ni 3%? Nini kinazuia Serikali isiwe na share ya 10% kwenye profit itakayopatikana? 2. Je Kara aliposema anaharakisha kusaini hili deal ili kuwahi investment opportunity "Mheshimiwa Spika, katika viambatanisho nilivyokupatia sasa hivi, vile vile nimeambatanisha...
Back
Top Bottom