Recent content by Gily Gru

  1. Gily Gru

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Karibu sana leta story
  2. Gily Gru

    Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

    Ulikuwa unatembea na I'd zingine ukaikimbia hii
  3. Gily Gru

    Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

    Mwachiluwi upo? Kitambo sana
  4. Gily Gru

    Mwanamke jiandae kwa tendo la ndoa kwa kufanya haya

    Binafsi napenda msitu uwe mkubwa. Mda mwingine wakifyeka msitu huwa kipaka kinatisha sana. Tufanye vile umnyoe paka, hawezi pendeza. Paka akikosa manyoya huwa anakuwa mbaya. Labda umwangalie gizani huh
  5. Gily Gru

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Haha wakikutag ba miki nitag
  6. Gily Gru

    Picha: Je, utakubali kufanyiwa hivi na Mwanamke wako?

    I miss you more Amehlo Umenitupa
  7. Gily Gru

    Picha: Je, utakubali kufanyiwa hivi na Mwanamke wako?

    Kuna vitu mwanaume ukipenda kujaribu jaribu, ..... Leo unanyonywa chuchu Kesho utanyonywa nini?
  8. Gily Gru

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Dah migomba yangu inaanguka huko nje, huyu hidaya kaniachia maumivu Tanesco wamekula umeme
  9. Gily Gru

    Mention someone without any reason just to disturb them

    Maisha na majukumu yananifanya niwe tight. Mwaka huu umeanza vizuri ila miezi hii mitatu imekuwa migumu sijawahi ona
  10. Gily Gru

    Barua kwa mpenzi wa kwanza

    Mleta mada anazingua anatukumbusha enzi zile zilipendwa. Sasa hivi nimekuwa baba wa watoto wawili, (mmoja ilikuwa bahati mbaya wangekuwa watatu) inakuwaje nililie mapenzi ya ex? Yalishapita maisha yanaendelea.... WTF mleta mada de Gunner
  11. Gily Gru

    Barua kwa mpenzi wa kwanza

    Kupasha kiporo ni kama kuimba wimbo wa taifa, haichuji. Utakataaje mzigo kirahisi bila sababu za msingi Ila kama kurudiana na ex ni kama kuyarudisha matapishi mdomoni, sikushauri...
  12. Gily Gru

    Barua kwa mpenzi wa kwanza

    I just hope she is doing okay. She moved on to find a better man. It was the right decision, no grudges. The shoes fit her, but she was the wrong princess I've found the right shoe owner, and she's my better half. I still remember you Angel, you are my soulmate. Hoping you are always happy...
Back
Top Bottom