Recent content by george tiru

  1. G

    Treni iliyokuwa ikitoka Kigoma kwenda Dar, imekwama Dodoma

    Sasa hii treni ikenyesha mvua tu usafiri unakua shida, ah this is africa!
  2. G

    Hongera Wasafi Tv

    Jana nilikuwa naangalia kipindi chenu cha Women matters, kipindi kizuri ila kilikuwa hakina utulivu, hujui nani mgeni nani muongozaji, kila mtu anongea tu kama wako Baa, infact kiliboa sana, angalieni tv zingine.
  3. G

    Waziri Kamwelwe afurahishwa na uwekezaji hoteli ya Ngurdoto

    kwani uwongo? kuandika kwenyewe hujui
  4. G

    Kipande cha barabara cha mita 200 Tabata Kimanga chatumia miaka 10 kuwekwa lami

    3 Angels message, Wewe ndio umeongea, hapo ni siasa tu, eneo hilo ni la upinzani so hutakaa uone maendeleo mpaka mwisho wa dahari.
  5. G

    Nahitaji gari kubwa la kukodi

    Nahitaji Trucks kwa ajili ya kubeba korosho kutoka Mtwara Nachingwea, Lindi kuja Dar es Salaam tuwasiliane 0754308621
  6. G

    Tunauza Magari Used, Spares Used, Magari yaliyopata Ajali.

    natupa gx 100 bdo iko poa nicheki0762031054
  7. G

    Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Huyo mgombea kama hana dhamana ya chama je ni mgombea halali? au kuna private candidates siku hizi?
  8. G

    Ajali: Basi la Kampuni ya Ilasi Express limegonga basi la Mbeya Express maeneo ya Igawa

    Kama owner ni mkinga unategemea nini hapo, majoka hayo.
  9. G

    Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

    Huyo aniatwa Petii, acha kabisa , he is my friend long time nimepoteana nae sana.
  10. G

    Hali inaogopesha kidogo kwa maisha ya wananchi Zimbambwe

    We jamaa umeandika madini sana hapo juu, si wote watakuelewa.
  11. G

    Angalizo kwa wadau wa usafirishaji

    majungu gani tena , hapa sio fb au instagram, tunaambiana ukweli tu, km huwezi kazi tutakwambia tu, hatutaki usumbufu.
Back
Top Bottom