Recent content by FurtherOfTheSun

  1. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Hii comment yako must be laminated and bolded
  2. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Sio poa matundu ya choo yameziba kabisa yani hata maintenance ya kuzibua vyoo Hakuna daah this is hilarious for sure
  3. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Yaani ni aibu kubwa sana, hivi wanajisikiaje kila mara kudhihakiwa kuwa wao ni chuo cha kata?
  4. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Sawa SUA,l wanasoma mbwa, ifm wanasoma kuku, Jordan wanasoma mbuzi, mzumbe wanasoma makondoo ila UDOM pekeake ndo Kuna wanafunzi wachafu Unaumwa wewe sio bure
  5. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha. Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada...
  6. F

    Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

    Nipe email yako hapa tuwasiliane
  7. F

    Natafuta Marafiki Arusha

    Please check me PM
  8. F

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nadhani cocochanel hakuwa na nia shuruti kuuliza hivyo ba hata INSIDER MAN amemjibu kawaida tu kibaharia
Back
Top Bottom