Recent content by Freshthinking

  1. F

    Dk. Ali Mohamed Shein amesema yeye bado ni Rais wa Zanzibar

    Safari ya Magufuli hapa ndipo inapoanzia!
  2. F

    Ana kwa ana na Dkt. Mwakyembe: Awashangaa Waliomuona yeye tu, Lakini wengine hawakuwaona!

    Dr Slaa anaonekana wazi anataka kuua wapinzani ili kuiokoa CCM. Ukitaka kujua hili, jiulize ni kwanini hawaambii watanzania wampigie kura nani katika huu uchaguzi? Ikiwa anaamini kuwa UKAWA inaongozwa na Mafisadi, na CCM ni hivyo hivyo; Anataka kutwambia tusipige kura mwaka huu mpaka yeye...
  3. F

    Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

    Mwigamba ajiunge na Hamad Rashid, hoja zao zinafanana. Unapinga watu kugombea wakati uchaguzi bado ndani ya chama?
  4. F

    Rasimu yavuruga mipango ya urais 2015

    Kwa hapa itakuwa wamefanikiwa maana DR Slaa wameshafanikiwa kumuacha katika kinyang'anyiro cha urais, Mbowe naye sijui ila nasikia alikuwa akifanya masters, pengine huenda alipata degree! Lakini DR anaweza kufanya degree course faster kwa miaka miwili!
  5. F

    Maalim Seif: CHADEMA waroho wa madaraka

    Kuna ukweli ndani yake ukiwa neutral! Ila ukiwa CHADEMA ni ukweli mchungu.
  6. F

    Rasimu yavuruga mipango ya urais 2015

    Hii rasimu ni ngima nzito kwa wanasiasa wengi tu. Tutashuhdia baadhi ya vyama vikipoteza viti vya ubunge kwa wagombea binafsi. Sina uhakika sana ila nahisi rasimu ikipita CHADEMA watakuwa wamepoteza jembe lao, DR Slaa kwa kukosa sifa ya kugombea urais ambayo ni shahada ya chuo kikuu...
  7. F

    Dr. Kitila Mkumbo Anafaa Kugombea Urais wa Tanganyika Kwa Tiketi ya CHADEMA

    Hii rasimu naona imekaa kimtego mtego sana kwa CHADEMA. Mgombea urais lazima awe na degree ya chuo kinachotambulika. DR Slaa 2015 kama hii rasimu ikithibitishwa, anakosa sifa ya kugombea. Ni vyema CHADEMA mkajipanga kupata mgombea mwingine, lakini kwa rasimu hii naona kama DR Slaa anakosa...
  8. F

    Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

    Amealikwa na nani? Just curious!
  9. F

    BAVICHA kuileta dunia ya vijana Tanzania

    Sijakuelewa kaka.
  10. F

    Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

    Neno la kijiweni liko wapi kayika maelezo yangu? Ukileta nchi inayoitwa Tanganyika karne hii, utapata shida kujitambulisha. How does it sound umeenda nje ya nchi halafu unasema mimi ni Mtanganyika? Wanaweza kusema labda unatokea kigoma, Tanzania!
  11. F

    BAVICHA kuileta dunia ya vijana Tanzania

    IYDU ni combination ya washirika wa aina mbili; conservative na Christian Democrat. Where is the difference? I stand to be enlightened lakini naweza kusema kuwa IYDU inafungamana na vyama vyenye mlengo wa christian democracy. Sijui kama ni vyema kwa CHADEMA kuji associate na vyama vyenye...
  12. F

    PICHA: Kada wa CHADEMA, Amos ajeruhiwa vibaya kwa Shoka na GREENGUARD wa CCM Arusha

    Haya mapambano yangekuwa yanaelekezwa kwenye kutokomeza umaskini! Nafikiri Tanzania tungekuwa wakupigiwa mfano Afrika. Why killing/ hurting each other?
  13. F

    Arusha: Mgombea udiwani CUF aomba kura kwa kulia

    Moja kati ya mawili huenda ikawa kweli au vyote viwili: 1) Mwandishi ameandika kishabiki sana 2) Mwandishi hakupitia shuleni kufunzwa kuhesabu. Hajui hata 50 ni ngapi!
Back
Top Bottom