kaka shukuru Mungu amekuambia hana hisia na wewe cha msingi achana nae utateseka kama sio kujitesa
mimi wangu aliniletea mambo kama yako nikamwambia nimeshindwa mimi sasa hivi ni wiki ya pili naugulia maumivu coz bado nampenda ila imenibidi niondoke mwenyewe najua atanitesa maana hana hisia na...
mimi ndo napitia wakati kama wako ila nimekuja kugundua kuna mtu anampa furaha so hisia na mimi hazipo tena ila wa kwangu ni tamaa ya pesa coz sidhani kama kwangu kuna kitu alikosa ila amempata mtu mwenye uwezo zaidi yangu nimeamua kuachana nae japo na mpenda ila sina jinsi,najua nitapata mtu...
nilipiga simu masaa 2 hazipokelewi nikaenda kwake sikumkuta japo alikuwa period ila nafsi yangu ilikataa kumwamini maana nilimwamini na sikutegemea tukio lile kwa wakati ule ila niliumia sana kwa sababu nilimzoea sana tumefanya mengi tumepitia vitu vingi mbaya zaidi hata msamaha hakuomba ila...
huyu mpenzi wangu wa sasa maana tumedumu kwa muda mrefu sana ila naona sasa hivi amebadilika sana nahisi wajanja wamemchukua maana kwenye mapenzi kuna kuzidiana au mapenzi kuisha automatic ila ni mazoea yananifanya kutomuacha ila nashukuru mpaka leo hii hatuna mawasiliano ni wiki sasa imeisha so...
sijawahi kuamini suala la risiti eti una kwepa kodi risiti imeongeza idadi ya rushwa sasa hivi ni kama dili mtaani haswa kariakoo mpaka wale tigo wadai risiti hapa serikali ijipange risiti haijaongeza mapato ila imeongeza rushwa maana kila mtu anajifanya TRA
hapa umeongea ukwel kariakoo matajiri wamejificha ila yale maduka wanapata mizigo kwa shida mno maana wanapochukua mzigo hawapewi risiti so ina ngumu kwa wenye maduka nao kutoa risiti
bro tumia scaboma ya cream asubuh na jion oga na maji ya moto ndo upake hiyo scaboma ila matokea ni baada ya mwezi haviponi haraka ila usikate tamaa maana scaboma haina madhara wewe tumia hata zaid ya miez miwili maana mimi nilikuwa navyo ndani ya miaka 2 lakini nimepona
wale wanaosajili laini wana mtandao mkubwa wa kuiba pesa waogopeni sana wale watu ni wezi wamitandao sana waogopeni embu fikiria mtu kavaa jezi ya tigo lakini anafanya kazi mitandao yote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.