Recent content by fredqbcc

  1. F

    Hukumu ya Chenge- mwenye habari anijuze

    Hukumu yake itazingatia pia precedents.Hujui wengi wao walifungwa kama matax drivers, madereva wa daladala, mabasi ya abiria etc. HEEE al;ikuwa mwanasheria mkuu sheria itamuogopa mwaka huu.
  2. F

    Kilichoandikwa na TANZANIA DAIMA la jana: DK Slaa alishinda urais kwa 64%

    Mmoja anasema Tanzania Daima ni la CHADEMA, nimtake radhi kama haelewi kiingereza kwani naomba asome usemi huu "Anyone who walks into a church becomes a christian, Does also walking into a garage make you a car"?Muhimu ni Concept sio hisia kwa sababu Baba yangu ni mhindi wa Indepence street...
  3. F

    Elections 2010 CCM yaendelea kupimana ubavu na kanisa katoliki Sumbawanga.......

    Philosophy ya mafigure matatu muiangalie sana CCM, wakristo wanaifanyia KAZI kwani wao si wagomvi. Usiuwashe moto ambao kuuzima huwezi
  4. F

    UJUMBE WA MBUNGE: Shukrani, Twende Kazi!

    Unawajua Watu wa UBUNGO Mheshimiwa. Hivyo vitu ulivyovitaja wanavijua tuambie implementation srategy ukiambatanisha na action PLAN yako. SISI WASOMI NA WANANCHI WA KAWAIDA ambao tupo hapa tunasoma UDSM wengine maofisa mipango,treasurers etc.Nenda kwa DAVID Msuya au Mtei wanajua kama usemayo...
  5. F

    Hakuna Chama cha Upinzani kitaongoza Serikali Tanzania

    Naomba tusichanganye mambo na kuwafanya wengine wasielewe vizuri mihimili na maana ya vyama vya siasa. Kiingereza au kizungu kiko so precise katika kueleza vyama vya siasa zaidi ya kimoja katika nchi moja vyaitwa opposition parties na sio tafsiri ya fitina muipelekayo kwa watanzania na kueleza...
  6. F

    Sambaratisheni Mawazo Ya Watanzania Kwanza Kabla ya Kuisambaratisha Chadema

    Watanzania tumesambaratishwa siku nyingi ila upinzani unakuja kuleta umoja wa haki na kuondoa wachache kuhodhi mawazo na resources za Watanzania
  7. F

    Katika SIASA 1+1 sio 2

    Wengi huhitaji kuchaguliwa kuwa viongozi lakini hutaka ajira zaidi na madaraka yatakayo ambatana na malupulupu na huu ndio ukweli.Idadi ya mawaziri ni kubwa mno kiasi kwamba wengi wao hawana uwezo wa ku add value katika jamii ya kitanzania.
  8. F

    Elections 2010 Wana Ludewa wanahitaji kumchagua mbunge

    Wanaludewa wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kumchagua mbunge.Huyo Mbunge anayesemekana alipita bila kupingwa amewanyanganya Demokrasia WanaLudewa.Ndugu Manfred Peter Mtitu Kaza Buti katika Kesi uliyofungua mahakama kuu kanda ya Iringa. Ulinyimwa fomu katika Mazingira ya kutatanisha naomba...
Back
Top Bottom