Recent content by fred beng

  1. F

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    mbona post zimeshatoka ndugu kwani hukuomba? then waweza omba kwani deadline ni 30/10/2015.
  2. F

    Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

    mbalizi kuna kozi nyingi mkuu, funguka ni kozi gani unayotaka kujua, then waweza wasiliana na chuo direct
  3. F

    Kutokubadilika kwa profile ya alie apply community health

    diego na wew uliomba hiyo koZ?, kama uliomba je profile yako ikoje? umechaguliwa??
  4. F

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    usipende kuzungumza kitu ambacho huna uhakika nacho, community health bado hawajatoa labda kwa diploma na certificate.
  5. F

    Medical labaratory science

    medicala=medical kozi iko vizuri, vipimo vya makohozi, choo kubwa na ndogo, mkojo, malalia na magonjwa mengine kibao utahusika....kuhusu salary sifahamu ngoja waje
  6. F

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    mhudumu wa afya ngazi ya jamii(community health officer) anakula bei gani kwa mwezi? kwa anae fahamu
  7. F

    Karibun "WATER DEVELOPMENT AND MANAGEMENT INSTITUTE" (WDMI)

    upo chuo? au ndio unatarajia kuanza masomo?
  8. F

    Karibun "WATER DEVELOPMENT AND MANAGEMENT INSTITUTE" (WDMI)

    oi braza edwin, vp hizi koz kat ya irrigation na water supply, vp carrier oppotunity interm of job after collage,nmekua admited for diploma in irrigation eng
  9. F

    Students of WDMI (Water development and management instute) Tufahamiane hapa

    ivi irrigation now days ina soko kweli???? ajira za uhakika afya & ualimu kaka.
  10. F

    Maombi ya nafasi za masomo ya Afya

    kuna m2 ameomba medical lab kwa chem-C, bios-D, math-D & geog-D vp atapata kwel? ila physics ana mswak
  11. F

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    vp kuusu na ajira mkuu...je unaajiriwa na serikali or inakuaje, nataka nikapige hiyo med lab...tujuzane wakubwa..na mshahara bei gan kwa level ya dip?
  12. F

    PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    mkuu van dame vp chuo cha kampala international university kimesajiliwa na nacte ? au ndo changa la macho
Back
Top Bottom