Recent content by frank lujaju

  1. frank lujaju

    Harufu baada ya Chafya

    Sawa sawa uenda ukawa sahihi zaidi
  2. frank lujaju

    Harufu baada ya Chafya

    Ok asante sana ntafanya ivyo
  3. frank lujaju

    Harufu baada ya Chafya

    Ndiyo ninapata
  4. frank lujaju

    Harufu baada ya Chafya

    Habari wana JF,Napenda kuelimishwa sababu na tiba juu ya harufu inayotoka baada ya kupiga Chafya,je usababishwa na nini na nini tiba yake ,asanteni
  5. frank lujaju

    Thanks GOD, thanks JamiiForums... I got it!

    Hongera sana na kila la kheri
  6. frank lujaju

    Ruangwa

    bado ,kumbuka kufuatilia website ya wizara ya utumishi,wakiita lazima waanike wazi mm pia niliomba kila siku nafuatilia bado hawajaita tuvute subira
  7. frank lujaju

    Kuitwa kwenye usaili

    Kila la kheri wote mlioitwa
  8. frank lujaju

    Public Service Recruitment Secretarieat

    Unajiona mjanja wakati ulimbukeni tu
  9. frank lujaju

    Salary scales

    Habari wana JF naomba kujua viwango vya mishahara katika salary scales zifuatazo: {1}TGS A {2}TGS B {3}TGS C {4}TGS D Angalau izo tu .Naomba anayejua aninidadavulie plz
  10. frank lujaju

    Kwa graduates msio na ajira ....faraja..

    Ni kweli kabisa uko sahihi ulichokisema kiukweli imewalenga graduates walio makazini namna gani wataongeza kipato chao pasi kutegemea mushahara wanayopewa kumbuka jamaa hiyo laki tano aliyoanza nayo imetokana na kazi aliyokuwa nayo,kwa wale je wasio ajirani wapi watatoa hiyo capital,kiukweli ni...
Back
Top Bottom