Namour, mbona mfarisayo wako cjui mgalatia hatoi majina ukiingia anakurudisha ulikotoka au haya mambo ya mitandao yana m2 na m2? Please mkuu kama kweli 2saidie ili nasi tuchungulie. Pressure pressure jaman mtatuumiza wenzenu!
Wapendwa wana jf mnaofuatilia uhamisho toka tamisemi nami ni mmoja wenu. cha msingi, secondary na college ni kupashana habar kwa yeyote atakaye pata news inayohusu issue hii. mchana nimepata sms toka huko juu kuwa within 2 weeks mambo yatakuwa shwari
Kuna jamaa aliniambia alifuatilia akaambiwa majina yatatoka kuanzia jan 15. So kama kuna m2 ameshayaona please 2julishane wana jf hapa ndo kupeana news wana jf. Jaman 2naotaka kuhama 2po wengi, wengine ni walimu wanashindwa waazimie au la!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.